Maswi: Zitto na Kafulila ni Washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'Tumbili'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 SAKATA linalohusu kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), limechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, kuwashambulia kwa maneno makali, wabunge wawili Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) na David Kafulila wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi).

FikraPevu ilikuwapo wakati Maswi akitumia maneno makali kwa kuyarudia, akikejeli nyaraka zinazotajwa kuwa ni ushahidi wa jinsi IPTL ilivyouza hisa zake na fedha kutolewa kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika akaunti maalumu ya pamoja (Escrow), akisema nyaraka hizo ni karatasi za kufungia vitumbua zinazosambazwa na wabunge hao aliowaita “washenzi”.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hasira za nini Mzee ? au na wew ulipata mgawo nin?

    ReplyDelete
  2. umelamba wewe....mbona povu linakutoka mzee

    ReplyDelete
  3. umelamba wewe....mbona povu linakutoka mzee

    ReplyDelete
  4. siku zote werema ni mchemfu katika hili mkono wa Mungu utaonekana majizi haya ya ccm tutayavumilia mpaka lini?

    ReplyDelete
  5. werema kumtukana kafulila ni sawa na kumpiga chura teke hii ni kumuongezea hatua,hongera sana kafulila huyu dingi haoni kundule hii inatuonyesha ni jinsi gani anahofu pale ukweli utakapoanikwa ataficha wapi sura yake kama ya wale viumbe wa gombe reserve.

    ReplyDelete
  6. UDAKU MPO JUU NILIKUWA SIWAJUI BEFORE.

    ReplyDelete

Top Post Ad