Mtoto wa miaka 13 aikoa Nigeria Kulipuliwa na bomu kubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache baada ya kutokea shambulizi kubwa la bomu katika soko kubwa ‘Mall’ jijini Abuja, Nigeria mtoto mwenye umri wa miaka 13 amesaidia kuwaokoa raia wa Nigeria kushambuliwa na bomu kubwa baada ya kulishitukia na kutoa taarifa polisi.

Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa Kano, aliyejitambulisha kwa jina la Magaji Majiya, mtoto huyo wa kiume alipata mashaka baada ya kuona gari fulani bovubovu likiwa limetelekezwa huku likiwa na mzigo mkubwa karibu na msikiti mmoja.

Na ndipo alipolichungulia kuona vitu kama mabomu na akatoa taarifa mapema.

“Bomu liliwalenga watu walioenda kuabudu katika msikiti huo na lilikuwa limewekwa kwenye gari aina ya Toyota Tercel.” Alisema Majiya.

Polisi walituma kikosi maalum cha kutegua mabomu ambacho kilifanikiwa kulitegua bomu hilo.

Mtu mmoja amekamatwa kutokana na tukio hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana dogo, ingekua hapa kwetu huyo dogo angeanza kukagua kutaka kujua hicho ni nini, natamani tungekua tunafundishwa shuleni aina za mabomu ili hata ukiliona uweze kulitambua,
    mimi na ukubwa wangu hata bomu sikijui zaidi ya kuona picha

    ReplyDelete
  2. Yaani police wetu walivyo na dharau wala wasinge wahi lingelipuka

    ReplyDelete
  3. Uyo mtoto ni HERO...hongera zake dogo

    ReplyDelete
  4. Hongera jembe.

    ReplyDelete

Top Post Ad