SHEHE Mkuu Amcharukia Jackline Wolper

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.

Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.

Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye ukristo.

Akizungumza na Risasi Jumamosi juzikati, Shehe Salum, alisema Wolper anapaswa kujichunguza na kubadilika haraka kwani kitendo anachofanya ni kinyume na taratibu za dini.
“Siyo vizuri hata kidogo na hata dini zote zinakemea kitendo cha kuchezeachezea dini kwani ni chukizo kwa Mungu.

“Kwa upande wa Dini ya Kiislamu, kuna sheria kali zaidi kwa mtu akionekana na tabia hiyo, anaweza hata kuuawa hivyo wanaofanya mchezo huo waache kwani siyo vizuri. Huko ni kumfanyia Mungu dhihaka,” alisema Shehe Salum na kuongeza:

“Unajua suala la imani ni kitu kinachomhusu mtu binafsi, ni vyema kufanya uamuzi wa hakika na kushika njia moja na siyo kufanya dhihaka na dini ya Mwenyezi Mungu. Ni kitu kibaya sana.”
Naye Juma Suleiman, mkazi wa Ilala, jijini Dar es Salaam alimwambia mwandishi wetu kuwa, katika imani ya kiislam kunakatazwa watu kucheza na dini huku akisisitiza anayefanya hivyo anaweza kulaaniwa.

Dini siyo kitu cha kuchezea, ni daraja la kumfikisha mtu kwenye haki, si mahala pa kuingia na kutoka, kuingia na kutoka. Huko ni kucheza na Mungu. Namshauri huyo mtoto (akimaanisha Wolper) abadilike. Asifanye mchezo na imani, Mungu anaweza kumlaani kwa kumchezea,” alisema Suleiman.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

48 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tatizo anatombwa sana hyo kuma yake inahaha aijui itulie wap

    ReplyDelete
  2. Basi sawa mana ukiangaikasana napo matokeo yake ndio hayo shauriyake

    ReplyDelete
  3. Msenge huyo anataka kuonekana kwa watu kuma yenyewe mbovu

    ReplyDelete
  4. hawezi kulaaniwa na yy ana mungu wake kwa jina la yesu....mtu akitoka kwa yesu huko anakokwenda yesu huendelea kumlinda na kumuonea huruma...anaruhusiwa kurudi na kutubu....yesu hua halipizi na pia nafasi hazijai.....waoohh...binafsi naona kama alikosea kubadili dini kwa ajili ya mwanaume mtu kubadili dini ni kutoka nafsini kwa maamuzi binafsi kwa mambo uliyosaidiwa na mungu kupitia jina uliloliombea kwa mungu. .....0717337536

    ReplyDelete
  5. Mungu halaani bali anasemehe laana tunajipa wenyewe na maovu yetu.........Mungu ni Pendo anatupenda sana hivyo ukitubu na kumrudia anakusamehe msimtukane Wolper maana njia ya kuwa na uzima wa milele ni kumfuata Yesu pekee kwa maana hautauona ufalme wa mbiguni bila kumkubali na kumkiri Yesu hongera dada Wolper kwa kulitambua hilo na kurudi ktk Imani yako kwa sabb ukristo hatuangalii dini bali ni Imani

    ReplyDelete
  6. Hiyo sio njaa ni nzala yaani njaa iliyopitiliza

    ReplyDelete
  7. Nashukuru kwa kujitambua dada wolper na huyo shehe sijui anachokasirika ni nini haswa? Au alitaka abakie huko ili akamuoe yeye? Hakuna mtu atakayeiona pepo kwa dini bali kwa imani yake tuu. Unamlaumu kwa kurudi kwenye imani yake. Kwani wee mungu.

    ReplyDelete
  8. nanukuu,,KWA DINI YA KIISILAM MTU AKIPATIKANA NA KOSA HILO ANAWEZA KUUWAWA,mwisho wa nukuu,huyo ndo mungu wa kiislam alivowafundisha ila mungu wetu wakirsto ni mpole mwingi wa huruma na hukum i mkononi mwake wala si binadamu

    ReplyDelete
  9. Umalaya umemzidi Khuma inamhangaisha mshenzi mkubwa

    ReplyDelete
  10. Any. 12.22 umenchekesha sana. Ahsante mwana. Wewe cjui ni wa nyumbani. Umejuaje neno 'Nzala'! Na any. 1.25. Pia umenifurahsha, nikweli jambo la kushangaza Mungu anaekuu kisa umebadili dini cjawah skia. Huyo shehe? Au shehetan? Iman ni uhusiano wa mtu na Mungu wake. Mwachen dada aludi kundini alikengeuka kwa tamaa ya fedha ndo akatoka zizin. Ila Yesu ni mwema kila wakati atampokea tu

    ReplyDelete
  11. Yetu macho na masikii

    ReplyDelete
  12. Huwa yesu sio gaidi anawapenda wanadamu wote hata huyo shekh yesu anampenda sana asijali nafasi yake ya ya kuokolewa ipo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wacha ujinga wa nafsi huyo shehe anaijua haki sio upumbavu wako

      Delete
  13. Mpende jirani yako! Tutii amri.

    ReplyDelete
  14. Mpende jirani yako! Tutii amri.

    ReplyDelete
  15. Yesu ndiyo njia ya kweli na uzima mtu aji kwa baba bila njia yake so wolpa ujakosea umekuja njia nzuri na Mungu huwa alaani bali atakubaliki usitishike na maneno ya shekhe

    ReplyDelete
  16. hizi dini zimeletwa na wanadamu kwaiyo jm unamwamini kristo ni bwana na mokozi wako usiogope maneno ya shekhe kabisa na maneno ya watu wanaokutukana bila sbb songa mbele mama

    ReplyDelete
  17. Alikua na uchu wa ndoa lkn sio dini umalaya mbaya utabadili kwa wangapi wamekushtukia sasa

    ReplyDelete
  18. Alikua na uchu wa ndoa lkn sio dini umalaya mbaya utabadili kwa wangapi wamekushtukia sasa

    ReplyDelete
  19. Alikua na uchu wa ndoa lkn sio dini umalaya mbaya utabadili kwa wangapi wamekushtukia sasa

    ReplyDelete
  20. acheni ujinga yesu ni mungu yesu alikuwa anakunya je mungu anakunya yani.kuweni makini moto si mchezo

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga unawaza kunya tu ww fala tena nenda shule nyangau we huna haya kutaja kristo na choo unazani mwenziyo mm ata km si muslim siwez.mtusi mtume wenu najua Mungu alimuumba kwa makusudi yake so umelaanika ww

      Delete
    2. amina ndugu umemwambia ukweli kabisa kumtusi yesu kisa yeye ni muislam amejitafutia laana yeye mwenyewe asisingizie kurogwa.....mbona sisi tunaheshimu jina la mtume wao.......kweli jamani titii amri....mpende jirani yako hata kama yeye anakuchukia hilo ndilo agizo la mungu amen

      Delete
    3. aisee we jamaaa ninii nii kumtukana kristo wetuu.lakinii yeye huwa ni Mwingi wa Huruma anasamehee saanaa wee jamaa umesamehewa buree yeyee haui anasamehee tuu.ilaa umetegwa kwa maneno ya kinywa chakoo,chungaa sanaa.

      Delete
  21. Hivi kiongozi wa dini anaposema mtu unaweza kuuawa anamaanisha nini. Mawazo mazuri kubafilisha dini si sawa. Mambo ya unaweza kuuawa nk sio muhimu ni nani atamuua nani na kwanini.

    ReplyDelete
  22. huyu malaya njaa inamsumbua

    ReplyDelete
  23. wewe usiongee kwa kutokujua ufinyu wa akili zako ndio unakufanya kusema eti .... anyonyimous june 30. 2014 at 5:46. umekaririshwa hata kutumia akili kidogo tu huwezi. je unajua Mungu anaweza jambo lolote? kama unajua hilo utakuwa umeconfirm mwenyewe kuwa Yesu ni Mungu.

    ReplyDelete
  24. Huyu anaesema shekh alitaka abaki ili amuoe,kwa kitu gani hasa.

    ReplyDelete
  25. Hahahaaaaa! leo nmebarikiwa sana na comment jaman Mungu awabariki sana. Mungu wetu ni mwema na mwaminfu kwa wote. na YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZ WETU HUWEZ MUONA BABA BILA KUMWAMIN YESU KRISTO.

    ReplyDelete
  26. '' NJONI KWANGU NYINYI NYOTE MNAOELEMEWA NA MIZIGO YA DHAMBI ''hapo bwana yesu hajabagua, anatupenda wote! Nawashauri ndugu zangu kwenye tatizo lolote unaloona labda ndio litakatoa uhai wako,iwe ugonjwa au ajali ongoza maneno haya,MUNGU WANGU,NINAKUJA MBELE ZAKO NIKIWA MWENYE DHAMBI,NAOMBA NISAMEHE,NIPOKEE KWAKO MBINGUNI.BWANA YESU NISAIDIE.Haya ni maneno machache lakini yatakufikisha mbinguni kama unamaanisha.AMEN

    ReplyDelete
  27. Dini ni imani na imani ni kuamini kuwa hapana Mola apaswae kuabudiwa kwa haki ila yeye ALLAH ni moja tu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana mshirika yoyote. hivyo ikiwa imani yako sio hiyo huwezi kuamini daima dawamu UISLAMU, na kina yesu ni manabii tu na binaadamu wanaokula, wakenda haja ndogo na kubwa. manabii hawa wamejaaliwa miujiza

    ReplyDelete
  28. Kweli yesu ni wa wote,mimi ni muislam huwa naangalia vipindi vya dini ya kikristu kwenye tv na naona maajabu yanayofanyika,mwanzoni nilikuwa siamini kwani niliwahi kuambiwa huwa wanapanga.nilikuwa nasumbuliwa na kisukari sana,lakini nimepona baada ya kufuata maombi ya kwenye tv,nilisema tu kama kweli yesu unaponya basi niponye mimi,nimeteseka sana sitaki tena ugonjwa huu,amini jamani nimepona miezi mitano sasa tatizo limekwisha,nimetupa mabomba na dawa zote nilizokuwa natumia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakika Yesu tunaemwamini tuna uhakika nae,ni mwingi wa huruma na ni mwepesi wa hasira. Endelea kumwamin mpka dk ya mwisho ndg yangu,wala ucdanganyike na mtu yyote kwan kila mtu ataiacha hii dunia peke yake kama alivokuja duniani peke yke,so tathmini na chuja,angalia mbali sn utaona faida yake baadae maana Mungu wetu hawahi na wala hachelewi,hujibu kwa wakati wake. DAMU YA YESU WANGU IWAFUNIKE NYOOTE MNAOMWAMINI,MSIMWACHE KAMWE KWA SABABU YOYOTE ILE PLS.

      Delete
  29. huyo shehe aache ushenzi kama mungu ni mmoja,kwa dini zote kwanni iye machukizo kwa mungu wakati mungu ni huyo huyo wanaomwabudu waislamu na wakristo,labda mungu wa huyo shehe ni mwingine

    ReplyDelete
  30. alielaanika ni bilisi aliyefanikiwa kuwa na kundi kubwa sana la aliyowapotosha ila tu hakumpata SHEKHE MAZINGE.

    ReplyDelete
  31. HIYO SI KUTUSIWA, HUWO NI UKWELI USIOPINGIKA. NA KAMA UNATAKA KUMTUSI MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W) wewe mtusi kwa unayoyajua ila tumia tu BIBLIA ikuongoze.

    ReplyDelete
  32. Hakuna binadam anayeruhusiwa kuhukumu,we ukimhukum m2 kufa je ww u mkamilifu,rudi kwa jesus mama na usirudi nyuma!unaetukana unatafuta sifa za kijinga 2 apa!love u so mch wolper wangu!

    ReplyDelete
  33. mcmpe kichwa kwa umalaya nyinyi, kwahyo hta akipta bwan mpagan aende akishindwa arud mungu anaimiza iman yaan utulivu co kutngatanga kama yeye mcfuge malaya

    ReplyDelete
  34. Oooooyo! acheni mayabu(UCHIZI),,,,kubadili dini sio tatizo ila tatizo ni kubadilibadili!!!!!

    ReplyDelete
  35. Nadhani anonymous 3:54 haujaelewa topic na point vizuri, kinachoongelewa ni kubadili dini au imani na si kutetea maovu. hawajatetea umalaya, wanakosoa kumlaumu mtu k ubadili imani na wanadamu kuchukua nafasi ya MUNGU kwa kulaani na kuhukumu.

    ReplyDelete
  36. kumamako zenu

    ReplyDelete

Top Post Ad