Wema Sepetu na Kajala Masanja Wamaliza Tofauti zao.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.



 Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika "nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasanii tu hawa wema aliwai kuvamia global akawa anamtukana uyo Imelda mtema eti leo mashoga mh?

    ReplyDelete
  2. kwa hiyo babuu,unatuambiaje,umesahau msemo wa wahenga,wagombanao ndio wapatanao.bora walivyopatana matusi yatapungua sasa huko instagram,

    ReplyDelete
  3. ebu bwana udaku tuambie,hii habari hiliyopo huko instagram,kuwa ndoa ya dida chali tena,eti wanadai kamfumania mumewe,kama ni kweli me naona dida ndio mwenye matatizo,japokuwa watu wataangalia upande mmoja,lkn kwa mtu mwenye uelewa mzuri,dida siyo mwanamke wa kuoa kabisa,mwanamke mjuaji wa kazi gani,mrs kajua yote,

    ReplyDelete
  4. heee,makubwa,lkn kweli Dida kujifanya yeye ana hela,ukute huyo mwanaume kavumilia mengi sana,ndoa haitki mashauzi,ndoa kuheshimiana,sasa utaolewa mara ngapi,kwanza kujisifu una hela wkt unakaa nyumba ya kupanga,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dida tena km nikweli basi apumzike nandoa.mh wadau mnapondajee acje akamsamehe km florah mbasha

      Delete
  5. Ilikumaliza tofauti zao kiukweli ukweli Lila upande uvunje timu zao kwani chanzo cha yote mitandaoni

    ReplyDelete
  6. Apo mekap hazikukolea vizur,,, sura zao mbayaaaa

    ReplyDelete
  7. Jamani hivi kibao kata ni nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ngoma flani yakukata viuno wanaume ambao si rizki wanaipenda kweli.yakishenz tu.bora walivyoelewana wenye midomo km mamba watulie

      Delete
  8. Wadau ctaki kuamini juu ya dida na mumewe mtujuze basi.kama ni kweli basi dida anashidaa maana ni mme wa tatu.maana ndoa ni uvumilivu.

    ReplyDelete
  9. Yani wema kumbe mswahili ivo kha! Kibao kata mambo ya uswaz sana loh mastar bongo zero puh...Afu kuhusu pic Aunty ndo katoka kizuri wengn misura mibaya maimatha mikorogo punguza mama unazidi kula kibaya zee zima ovyo...mfyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  10. Jamani wema kampokee baby wako kakuletea zawadi ya kithong kutoka Victoria Secret.

    ReplyDelete
  11. Breaking news jamani hawa wadada hawakomi na sembe haya Kuna mdada anaitwa Eliza au liz kipua amekatwa south Africa alikuwa anaishi huko na kuuza sembe anakaduka hapa American chips ka kanguo wadada badilikeni jamani

    ReplyDelete
  12. hhahahhahhah unaona mtu anauza nguo anakuwa na hela nyingi eti biashara inamlipa kumbe wapi sembeeeeeeeeeeeeeee. pili tatizo kubwa la sasa wadada hata wakiolewa siku hizi wengi wanashindwa kudumu kwenye ndoa kutokana na kuwa wavivu sana pamoja na kupenda pesa za chapchap jiangalieni sana mabint wa tz hiii

    ReplyDelete
  13. Huyo Zamaradi wala hajapendeza na alivyo hana nyama km mzimu apishe kule mfyuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aaaaahh mdau eti kama mzimu hahahahaha umeua

      Delete
  14. aunt ajapendeza hata kidogo,wema ndo katokelezea,,huyo jalala nae atutolee ushuzi hapa.

    ReplyDelete
  15. We nana achawivu kabisa madam Wako boss Wako hajapendeza chochote

    ReplyDelete
  16. hayo mawig wamekua kama midoli

    ReplyDelete
  17. Vibayaaaaa....khaaah

    ReplyDelete
  18. Huyo changu dida sasa anajifanya kapata mchongo big brother anajua kingereza? Maana kule sio China shost ukapata mkalimali mnaenda kuuza k na miku... mkasaidiwa kufanya shoping hahahah. Mume anaitaji malezi sio kuishia kupaka carolite tu na ushukuru mkorogo ww sijui ungefanya nn km sio kuiza vitumbua maana sio siri ni mbayaaaa halafu unagimbi na unavyopenda kuvaa viatu virefu vikubwa hakina size yako na kitembea km unapanda mlima.....

    ReplyDelete
  19. mzimu wa usiku kkabisa ndo mana wanaume wanamwacha

    ReplyDelete
  20. Wameka kama mizimu na hayo mawigi

    ReplyDelete

Top Post Ad