Boko Haram waanza kuadhibiwa Kichawi......Nyoka wa Ajabu na Nyuki Wawatoa Msituni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanajeshi wa Boko Haram wanaofanya mashambulizi na kuua raia wasio na hatia huko Nigeria wamedaiwa kuanza kukimbia msitu baada ya nyoka wenye sumu kali na nyuki kuwashambulia.

Habari hizi zilielezwa na mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa na kuthibitisha kuwa ni mmoja wa member wa kundi la Boko Haram na alieleza kuwa hivi sasa kundi hilo limelazimika kuhama msitu na linaelekea maeneo ya mpaka wa Nigeria na Cameroon baada ya wanajeshi wake wa ngazi za juu kushambuliwa na nyoka na kupoteza maisha.

Kumezuka hisia za kiimani kuwa Boko Haram wanaadhibiwa na mizimu ya watu  waliowauwa kinyama

Jeshi la Nigeria limeshafanya juhudi za kuwaondoa msituni lakini imeshindikana  na hadi sasa kundi hilo linawashikilia wasichana zaidi ya 260 na bado linaendelea kushambulia Nigeria kwa mabomu ya kutegwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wala sio uchawi ni maombi ikumbukwe wengine wameslimishwa bila ridhaa yao

    ReplyDelete
  2. Na bado!watajutia saba walichokifanya kwa maana ni Mungu anajibu maombi,maana dunia nzima inakemea jambo hili.

    ReplyDelete
  3. Tenda miujiza Mungu wetu,na huko wanakokimbilia wakaone mamba sasa.

    ReplyDelete
  4. upuuuzi mtupu na pia bizo ni imani ya kiafrica na ujinga. basi kama hivyo maraisi woote wangeumwa na nyoka basi kama bushi, sadaam, na wengine wengi, nyoko kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad