Afande Mpinga: Kila Traffic Ana Kitabu Cha Faini Mnafundisha Uhasibu Siku Hizi? Hata FFU Nao Wamo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KAMA KUNA SIKU NILIOCHEKA DUNIANI NI LEO AFAND MPINGA
Kwanza shikamoo mkuu na baada ya shikamoo na kaswali changu cha kizushi ambacho ukisoma hata zawadi ya EID uitaji 
kifurahisho tosha

Mh Mpinga sikuhizi za usoni kila traffic amekuwa akishika kitabu ..zamani sikupata kuona hii afande hasa wakati wa mzee wetu wa kichaga tosha..pamoja na wachaga zao lao ni pesa lakini akukuwa na wingi wa vitabu vya faini vinagiwa kama njugu kwa kila traffic kama wakati huu

ingekuwa wakati wa mzee ruksa ningesema mnamalizia ya mwisho mwisho 2015 ..lakini hekima yako sipendi kufika huko
Mh Mpinga hivi vitabu vingi ni feki naomba niongee hili kabla ujasherekea sikukuu..inaatia aibu kuona mtu anakukimbilia kwenye boneti ...kuandika faini ya kosa ambalo ajakwambia alafu anakuja kwako kuanza kuomba rushwa 

ili jambo nimecheka sana sana leo na pengine huyu traffic anajiuliza ni nani mimi kufanya nilichokifanya.....nikiwa naelekea tabata nikakutana na utitiri wa traffic wanasimamisha kila gari kama wanakagua visa namanga

wa mbele yangu aliposimamishwa akaunganisha waala akuitaji kuona sura zao..akaamua kuntoa msala mimi kama kawaida hao naitaga ma furendi....niliposimama jamaa akanipita na kwenda kwenye boneti...akaanza kuandika faini yake ....sikujua anaandika sh ngapi akanifwata bila hata salamu mwanaizaya yule ananiambia unajua kosa lako...nikamwambia nisingesubiri unisimamishe ..umenisimamisha unajua kosa langu akawaanaangalia kwa ndani ...

akanichania karatasi anasema ndio kosa langu ninasemaje..nikaisoma nikamwambia nisemeje si ushaandika ??nilipojibu hili akaiomba karatasi ..kitendo cha kuiomba takataka yake aliishia kuiona plate namba tu mwishoni ...

SWALI LANGU MH MPINGA HAWA TRAAFFIC WANAFUNDISHA UHASIBU AMA??KILA MTU ANA KITABU
AJABU VITABU VYOTE HAVINA COVER NA VIMEKUNJWA KAMA VINASUBIRI MAANDAZI WAFUNGIE//

NASEMA HIVI IPO SIKU UTAAGIIZA MAANDAZI MZAZI WANGU UKUTE KARATASI YA FAINI TENA COPY INAYOTAKIWA KUBAKI KWENU IKIWA IMEFUNGIA MAANDAZI
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaha kaka umenichekesha saana yaani nilikuwa nayawaza hayo muda si mrefu kabla sijaisoma hii... wanakimbilia kwenye boneti hahahahaha wananjaaa sana wale washenzi

    ReplyDelete

Top Post Ad