Ray C Unastahili Pongezi Kwa Kumuokoa Huyu Mrembo kwenye Janga la Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo  Doreen  aliyekuwa  video  Queen  wa  wimbo  uliotokea  kutamba  miaka  ya  nyuma  wa  Ice  Cream  ulioimbwa  na  Haji  Nura  ‘Noorah’  akimshirikisha  Suma  Lee  ameanza  kurejea  katika  hali  yake  ya  kaaida  ikiwa  ni  baada  ya  kutopea  katika  matumizi  ya  dawa  za  kulevya…..

Doreen  anakuwa  wa  kwanza  kuionyesha  jamii  juu  ya  taasisi  ya  mwanamuziki  Rehema  Chamila  ‘Ray  C’  ya  Ray  C  Foundation  kuanza  kutimiza  malengo  yake  baada  ya  kufanikisha  mrembo  huyo  kuanza  kutumia  tiba  ya  dawa  za  Methadone  na  afya  yake  kuanza  kurejea  kwenye  hali  yake  ya  kawaida…..

Ray  C  akizungumza  na  mwandishi  wetu  amesema  kuwa  anajisikia  fahari  kuona  afya  ya  Doreen  ikiimarika  kwa  haraka.

“Karudi  katika  hali  yake  ya  kawaida  baada  ya  kuanza  tiba  ya  Methadone……Nafurah  sana  nikiona  matuda  ya  Ray  C  Foundation, nimefurahi  kumuona  akiwa  na  afya  njema,” amesema  Ray  C.

Ray  C  ni  mwanamuziki  wa  kwanza  nchini  kujitoa  mhanga  kuwasaidia  vijana  waliojiingiza  katika  matumizi  ya  dawa  za  kulevya
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiviii. Hiyo foundation yako inadili na vijana maarufu tu au?? Nifafanulie coz miteja ipo kibao mtaa nnaokaa. Thn ukiongea nayo ipo tayari kuacha.. nataka nikukusanyie ka kumi hivi ambao ni sample tu, nikuletee userebuke nayo??

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahahhahahhaha humu kuna watu mna vituko,we mmojawapo..u made my day

      Delete

Top Post Ad