Florah Mbasha na Mumewe "NGOMA NZITO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza maisha yake kivyake kwa kupanga nyumba nyingine mbali na mumewe.

Habari za kuaminika toka ndani ya familia ya Flora zinasema kuwa msanii huyo amekuwa na wakati mgumu wa kumsamehe mumewe kutokana na tabia zake chafu ambazo zimekuwa zikiutesa moyo wake na sasa anang'ang'ania kumchukua mwanaye.

"Hivi karibuni iliripotiwa kuwa wanandoa hao wamepatana lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho,mwanamke amepanga chumba chake hapa Dar es Salaam na kumwachia kila kitu mumewe ambaye sasa ana haha kumchukua mwanaye ili aishi naye," kilisema chanzo cha habari.

Lakini upande wa pili, mume wa msanii huyo hivi karibuni alieleza kuwa ugomvi baina yao ulianza kutokana na kuchepuka kwa mkewe, huku akipeleka shutuma kwa mchungaji wa kanisa la ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye ni maarufu kwa vitu ambavyo ni tofauti na huduma zake.

Emmanuel Mbasha tayari alishatoa waraka wa wazi kwenda kwa mchungaji huyo, akimtaka kukaa mbali na ndoa yake jambo ambalo bado halina mrejesho chanya kwani wawili hao Flora na Gwajima wameendelea kufanya kazi pamoja kitu kinachopelekea Emmanuel kuona bado kuna kitu kinaendelea kati yao.

Kutokana na hali hiyo, mume wa Flora amekuwa mgumu kumtoa mtoto wake akihofia kulelewa na mtu ambaye kwake anamchukulia kama adui wa familia yake.

"Imekuwa ngumu sana kwa Emmanuel kumwachia mtoto wake katika hali hii, hata kama ni wewe unamuachiaje mtoto wako kipenzi aende kwa mwanamke ambaye ni msaliti," alisema ndugu wa karibu wa Emmanuel Mbasha
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ng'ang'ania baby wako kaka achana nae. pigania kesi yako kwanza.

    ReplyDelete
  2. Mbasha omba Mungu kesi iishe ukamate 50 zako, ndoa hailazimishwi

    ReplyDelete
  3. Gwaj anapenda sana.nyapu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gwaj keshatomba waumini kibao kanisani kwake,ndio maana nilimhama.

      Delete
  4. Kaka uckate tamaa, kama kweli wamekucngizia kubaka, ucjali huyo flora na huyo ngwajima anguko Lao lipo karibu, Mungu wetu Yu hai anaona penye haki, atauonyesha ukweli mkiwa nyote mpo hai. Malipo Ni hapa hapa duniani. Na kama wewe ulibaka PIA Mungu atakufichua. Lakini bado Kuna nafac ya kutubu. Mungu wetu Ni kwenye huruma Sana.

    ReplyDelete
  5. Huyo Emmanuel Mbasha ni fala.unawezaje kukubali uishi mjini kwa nguvu za mwanamke kubabako?! Mwanamke amechoka kukulea acha naye alelewe na wanaume wanaojua majukumu yao kama wanaume.Gwajima kamua mzigo huo achana na huyo fala analialia kipuuuzi kwenye media.

    ReplyDelete
  6. Na wewe kakutomba? anoni 10:45?

    ReplyDelete
  7. kizuri kula na nduguyo emanuel ona wamesha kutombea sasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad