Habari Kuhusu Hamisa Mabeto Kuvalishwa Pete ya Uchumba Tarehe 2 Aug Excape1

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua  Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka Diamond au Chibu kama mwenyewe anavyopenda kujiita. Lakini baada ikaja kujulikana kua yalikua ni maneno ya wabongo.

Habari za kuaminika Bongoclan ilizozipata ni kua kwa sasa Mwanadada Hamisa kazama kabisa kwenye penzi zito la Seth De Jesus Giovan almaarufu kama Bikira wa kisukuma. Mmoja wa mashostito wa wapenzi hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kua Hamisa keshatambulishwa nyumbani kwao na Bikira na kilichobaki ni tukio la kuvishana pete ndo lililobakia.

Team yetu iliamua kufatilia kama ni kuna ukweli  kuhusiana na ishu ya kuvishana pete kwa wapenzi hao na kugundua ni kweli kua watavishana pete tarehe 2 ya mwezi wa 8 ndani ya Escape 1 ambako pia ndani ya siku hiyo kutakua na Instagram Party.

Kupitia akaunti yake bikira wa kisukuma alifunguka haya kuhusiana na tukio hilo " Mungu anipe nini mie...Nimeokota Embe Dodo vhini ya Mpera..I cant wait tarehe 2 pale ESCAPE 1.. Asante Mungu kwa kuileta INSTAGRAM maana nisingempata huyu na kudolishia watu hapa... Nakupenda we mtoto kuliko Ng'ombe anavyopenda majani,Nakuhusudu kuliko Mngoni anavyopenda ngono,Nakuthamini kama Mchungaji anavyoithamini Biblia... I cant wait to engage you pale jukwaani mbele ya halaiki maelfu TAREHE 2...Kama Chibu kaweza kwanini mie nishindwe...Niko tayari kuwa bwege juu yako hamisa wangu,Sitakuwa na wivu wala SitakuSPY kama mme wa yule dada nanii yule mtangazaji,Msukuma nimezama kwako @hamisamobeto DONT MISS MY ENGAGEMENT PARTY kwenye INSTAGRAM PARTY TAREHE 2...iam excited..Nikipigwa kibuti ntalia balaa ntafunga akaunti wallah"

Pia inadaiwa kua Hamisa amewaalika mastar mbalimbali ambao watahudhuria tukio hilo wakiwemo Diamond akisindikizwa na Wema,  Adam Mchomvu, William Malecela, Jerry Slaa na wengine kibao huku burudani ikitolewa na Skylight Band.
Kiingili siku hiyo itakua ni elfu 10 tu huku mambo yakianza mapema kuanzia saa1 ya usiku.
Unakaribishwa Kusoma habari za udaku na za siasa kila siku, usikubali kupitwa, like page yetu ya swahilitz katika facebook na pia usisahau kutufollow katika instagra @swahilitz vile vile katika twitter @swahilitz1. unakaribishwa kutoa maoni yako hapo chini.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Hamisa,waliokuzushia umelala na dai ,inahuuuu?

    ReplyDelete
  2. Wanawake wazuri wanaolewa bila kujinadi mitandaoni Kama joketi,joketi u disappointed me,unaona wenzio kina Hamisa?

    ReplyDelete
  3. Olewa mwaya,jiepusha na mashogashoga Si watu Hao Bali Ni viatu.

    ReplyDelete
  4. OUT OF TOPIC,kuna dada mmoja kina kapuni alikuwa anatembea na mkaka mmoja muuza sembe,basi Hela alikuwa anachezeaaa na magari mawili ya maana Tu akanunuliwa,Huyu dada alikuwa na mashogaze,unajua tena ushoga Wa kujuana ukubwani Si ushoga,basi bwana shogaze kuona rafiki Yao anafaidia wanatembea Na Huyo kaka,kaka mwenyewe Ni kitombi Wa mji anajulikana na wadada wengi Wa mji,na kashawa DO,basi bidada alivyogundua,akawadelete kwenye insta yake,aisaidii wewe ndo mwenye makosa,umejipendekeza kwa awo wadada mwenyewe kisa Ni mastaa Wa muvi,Leo wamekulia bwana wako,unawafuta insta,bwana wako mwenyewe kila demu anatembea nae,amezaa na kila mwanamke,kisaa Eti bwana handsome na anauza unga Wa Dona .mschweeee!!!!

    ReplyDelete
  5. Daaa kukusifia koteee kumbe hakuna cha engagement wala USHUZI kumbe kusudi letu mkusanye watu wengiii kwenye uzinduzi Wa instagram?mambwa nyie.mkome kutudanganya toto kwa faida yenu,paka nyie.

    ReplyDelete
  6. Hakuna engagement hapo nyie danganya toto hiyo, cku zote wajinga ndiyo wanaoliwa, wanatafuta kick tu,

    ReplyDelete
  7. Habari kutoka kwa watu wake Wa karibu wanasema Ni uongo wanataka kujaza watu kwenye hiyo part ya instagram maana kiingilio Ni Ni 10000,Hamisa ngoja hiyo tarehe 2 ifike nisibitishe Ni uongo,NITAKUTOLEA SIRI zako zoteee ulizokuwa unafanya nchini Kenya,tumekusitiri unatuona mabwege.Na muandishi usikurupuke kuandika Habari za uongo.

    ReplyDelete
  8. Watu awamjui Hamisa mabeto,kwahiyo msione hivyo,anatafuta umaarufu auze magazeti,Kwani amumjui Huyu .....Wa Kenya ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio mkenya ni mbongo hila alikuwaga kenya,ngoja nisibitishe unatudanganya ili tujae kumbe ni uzushi ili mtuibie elfu kumi zetu,nitakutukanaa na kukutolea siri zako

      Delete
  9. nimeamini watu wala hawamjui Hamisa kujitia u super star wa bureeee,coment saba nimeandika mimi mwenyewe,kumbe superstar ni Wema Sepetu na Diamond,comment zitajaa hadi mia moja.

    ReplyDelete

Top Post Ad