Hivi Chadema nani Kwenu hajawahi Kuitwa Msaliti?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prof Baregu mulimtukana sana  kwa matusi ya wazi kabisa pale alipotoa ya moyoni juu ya mwelekeo wa chadema na siasa zake! Mlimshambulia huyu Mwl wangu na roho iliniuma sana kwa maana namjua msimamo wake!

Vijana wa Bavicha mulimvua nguo huyu Mzee wa watu na Kama kawaida yenu mulimuita Msaliti! Leo hii mnakaa mnasema uzee dawa? Haya maneno yanatoka moyoni au? Poleni sana!

Hivi ni yupi ambae hamjawahi kumuita msaliti ndani ya chama chenu? Mbowe alipompigia Magoti JK kumshukuru kwa kazi nzuri yaani mulimporomoshea mitusi ati msaliti mkubwa ndani ya chama!

Kazi mmnayo nyie kwenu kila mtu akinena baya basi ni msaliti ndani ya chama!

Swali, ni nani hamjawahi kumuita Msaliti ndani ya Chadema?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UMEEKA HIYO MADA LENGO LAKO NINI???AU UNATAFUTA UPATE WASOMAJI KWA KULAZIMISHA KUANDIKA HABARI ZA CHADEMA KTK BLOG YAKO????MATAKO YAKO KAMA HUNA HABARI BORA UKAE KIMYA...TUTAACHA KUANGALIA BLOG YAKO..KUMA WEEEEEE

    ReplyDelete
  2. ACHA PEKE YAKO,UNAONEKANA KWANZA KILAZA ULIKIMBIA SHULE NDIO MAANA UNATUKANA OVYO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. matako yako..kama unafagilia ujinga nawe kuma

      Delete
  3. Wewe Mkundu umelazimishwa kusoma blog hii, Kuma wewe unaetumia mkundu kwa kufirwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unatafuta bwana kwa nguvu matako weee....munatafuta kiki kupitia chadema???

      Delete
  4. Andika mambo ya IPTL na wizi wa fedha zetu za Umma sio kutuandikia habari za uchonganishi na siasa zako za uharo humu!

    ReplyDelete
  5. feza za umma unazjua ww we kaa tu uksubr serkal ikupe maisha mazr pumbav ww tafta chako

    ReplyDelete
  6. Andikeni vitu vya maana kwenye blog zenu acheni siasa za uchonganishi apa..

    ReplyDelete
  7. Inaonekana wabovu wa kufikiri linapokuja suala la chama Chao kuulizwa swali la msingi mnakuwa wakali each a watu wapate habali LA IMA kujua mapungufu ili mtu kama anawakubali awakubali kwa vile mlivyo kama anapinga anatoa comment zake kuweni wastaarabu

    ReplyDelete

Top Post Ad