Kuna Siri Gani Wanawake (Wasichana Wengi) Kuwapenda Wanaume za Watu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hili suala najiuliza sana hivi inakuaje?au ni justification ya ule usemi ,"Raha ya mwanaume muwe watano"? 
Kwa My experience rafiki zangu wengi sana ambao wameoa inakua rahisi sana kuopoa msichana bomba kama akimchana live yeye ni mume wa mtu ,hii imenisababishia hadi mimi(censored) niwe najitambulisha ni mume wa mtu hapo aaah...
Sasa nauwaulizeni wadada wa JF nini mnachovutiwa na wanaume wa watu?hamuoni kama ni hatari?kwanini usipenda cha kwako mwenyewe? Au wanamiliki nini ambacho singleboys hatuna hopeful we can learn from them and u
Nawasilisha
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nini maana ya 'kwa my experience?' haina kiswahili chake?

    ReplyDelete
  2. wanapenda pochi

    ReplyDelete
  3. Kwa sababu mume wa mtu anajua kuenzi mwanamke

    ReplyDelete
  4. Ni umalaya na tamaa za kidunia

    ReplyDelete
  5. Ni umalaya na tamaa za kidunia

    ReplyDelete
  6. Michepuko sio dili - baki njia kuu - epuka ukimwi!!

    ReplyDelete
  7. Hapa bado watu hawajaelewa sencer zote duniani kila nchi wanawake wengi kuliko wanaume nenda hospitali zote watoto wa kike wengi kuliko was kiume inamaana hakuna usawa wa jinsia ndio tatizo.

    ReplyDelete

Top Post Ad