Hussein Machozi Adaiwa Kufumaniwa huko Mombasa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi ametokea kuvuma sana huko nchini Kenya kwa vibao kadha motomoto kama ‘ nipe’ na Addicted alivyocheza akishirikiana na mwana dada Size 8 yamemfika ya kumfika baada ya fumanizi.

Habari hutoka kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya vimenukuliwa vikidai kuwa kijana huyu amefumaniwa na Mke wa Mwanasiasa mashuhuri huko Mombasa Kenya katika Hoteli ambayo jina halikutajwa na kupokea kichapo na kuamriwa kutoka humo nchini ndani ya saa ishirini na nne.,

“Even though the news could not be confirmed as Hussein Machozi had reportedly been ‘deported’ back to Tanzania and his phone went unanswered, in another hour, a top Mombasa blog posted the piece blaring it with this long catchy headline

“MSANII HUSSEIN MACHOZI APOKEA KICHAPO CHA MBWA NA KUPEWA MASAA 24 KUONDOKA HAPA NCHINI KENYA”. It sounded astonishing, so damning like a fellow caught doing drugs in Singapore.“Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu,” read the Blackstar Entertainment update whose Facebook link had been copied to the Pulse editor. In a nutshell, the writer was insinuating that Machozi had been having a secret affair with a top politician’s wife and after learning of it, the politician had been tracking the two all along until this day when he ‘caught them’.

“Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa,” the dossier concluded and so with an exclamation: “Je, wewe kama shabiki wake wamshauri vipi?”

Some Facebook responses were as hilarious as the reports. One Job Chilibasi reasoned that the news would not stop a steamy affair as ‘watakutana huko bongo’ while Pettie Nashipai added that ‘utamu wa maisha, kipendacho roho dawa...ashapata Hussein, ashapata yake mbona mwamgeuzia?”

Hivyo ndivyo habari za ‘MTZ ‘ huyu zimevumishwa katika vyombo hivyo mbalimali kutoka huko nchini Kenya ambako msanii huu alivuma hadi kufikia kufananishwa na Mwanamziki mashuhuri wa Kimarekani Curtis Jackson aka 50 cents.Kijana huyu mzaliwa wa Manyoni Singida, mwaka jana 2013 Agosti 28, habari zake za kuuaga ukapere zilitangazwa katika mitandao ya kijamii kufunga pingu za maisha na mwadada Shu Yunus Omar raia wa Kenya.

Kutokan na uharaka unaodaiwa ameondokea nao huko Kenya haifahamiki kama kafanikiwa kaondoka na mkewe ama amemuacha huko Kenya.

Tunategemea kupata habari zaidi pale muhusika mwenyewe atakapotoa taarifa za kukanusha tuhuma hizi pale atakapojitokeza kusimulia.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee balaaa km kweli

    ReplyDelete
  2. Wacoast wa Kenya ninavyowafahamu wallah wameshamla kipira huyo. Sio kitu cha kushabikia wala kufurahia pole kaka yangu.

    ReplyDelete

Top Post Ad