Kahaba wa Kitanzania Aeleza Alivyosambaza UKIMWI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi alivyotenda dhambi ya kusambaza Ukimwi kwa wanaume wakware.

Licha ya kukiri kufanya hivyo, akisema kwa siku alipanga hadi wanaume watano,tena bila ya kutumia kinga akisema alidhamiria kuusambaza ugonjwa huo hatari alioambukizwa akiwa katika shughuli za ukahaba.

Alijigundua ameathirika mwaka 2006. Hata hivyo, katika maelezo yake ameelezea kuijutia dhamira yake hiyo, akisema alisambaza kutokana na hasira aliyokuwa nayo dhidi ya mwanamume aliyemwambukiza.

“Nilimchukia sana kila mwanamume, yeyote aliyejiita mwanamume…nilishindwa tu kuwawinda na kuwaua, lakini dhamira yangu ilikuwa kutumia silaha yoyote kuua wanaume kwa sababu mmoja wao aliniua… “Ndani mwangu nilijisemea kamwe sitawaambia hali ya afya yangu, yeyote anayekuja kwangu nammaliza. Kwa namna walivyoambukiza lazima niwaambukize’. Sijui nimewaambukiza wanaume wangapi, lakini ni maelfu,” alisema mwanamke huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 32, alipotoa ushuhuda wake kanisani nchini Nigeria hivi karibuni.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atubu tu.sasa unapoamua kutumika bila zana utakosaje kuambukizwa?hata huyo aliemuambukiza alikubalije kulala nae kavu wakati ye anajiuza siangevaa condom maana yukokazini.sasa hasirazako zakujitakia uwaumize wengine hukutumwa ulalwe kavu.ungekuwa umeolewa ukaletewa ndani namumeo ungechukia kwahilosawa.ilaunautafuta tenakavu halafu unasema umewachukia wanaume.nimapokeo yako ajali kazini mtu humjui unalalaje nao hvhv?nanyie wanaume tulieni simnasikia mambo yakupelekea magonjwa wakezenu mkome.mijitu imeumizwa huko hasira inaumiza hatawasiohusika.unalala nae unaenda Ku supply kwa mkeo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani kuvaa condom unawavalia makahaba. Tu?Mbona hata wasio makahaba wanasambaza?kuna mdada mmoja Mbongo movie Ana HIV wanaume wanavyommendea Kama inzi Wa chooni wangejua mmmmh,sisi yetu macho waache waukwae ukimwi mpaka washike adabu ya kukumbuka condom,yalivyokuwa majinga condom wanatumia siku ya kwanza,ya pili atumii ng'oooo.poleni

      Delete
  2. Da mke akisema atulie analeta baba, baba akitulia analeta Mama, ee Mwenyezi Mungu simamia ndoa zetu

    ReplyDelete
  3. Hiyo story ni ya zamani sana tena huyo binti alikuwa anatoa ushuhuda jinsi mungu alivyomtoa katika biashara ya ukahaba ibadani scoan kwa tb Joshua, kuputia Emanuel tv..uwe mbunifu wa kutafuta story mpya kila siku sio za zamani admin

    ReplyDelete
  4. Kwani yeye ni Dakatari ama yeye ni mtoa Ushuhuda tu.

    ReplyDelete
  5. mpe ukwe kazi yake no kikopo tu na ameshaitoa yena akidai mschana wa kenya sasa mtanzania

    ReplyDelete
  6. Njia kuu muhimu..

    ReplyDelete

Top Post Ad