Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.

Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika

"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! cjui niseme anaboa..!! ww mdada unajua mpka unaboaaaa"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata mm nampenda hana skendo chafu

    ReplyDelete
  2. YAANI WASANII WOTE WANGEKUWA KAMA YEYE INGEKUWA SAFI SANA... HONGERA RIYAMA

    ReplyDelete

Top Post Ad