AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa My experience rafiki zangu wengi sana ambao wameoa inakua rahisi sana kuopoa msichana bomba kama akimchana live yeye ni mume wa mtu ,hii imenisababishia hadi mimi(censored) niwe najitambulisha ni mume wa mtu hapo aaah...
Sasa nauwaulizeni wadada wa JF nini mnachovutiwa na wanaume wa watu?hamuoni kama ni hatari?kwanini usipenda cha kwako mwenyewe? Au wanamiliki nini ambacho singleboys hatuna hopeful we can learn from them and u
Nawasilisha
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
nini maana ya 'kwa my experience?' haina kiswahili chake?
ReplyDeletewanapenda pochi
ReplyDeleteKwa sababu mume wa mtu anajua kuenzi mwanamke
ReplyDeleteNi umalaya na tamaa za kidunia
ReplyDeleteNi umalaya na tamaa za kidunia
ReplyDeleteMichepuko sio dili - baki njia kuu - epuka ukimwi!!
ReplyDeleteHapa bado watu hawajaelewa sencer zote duniani kila nchi wanawake wengi kuliko wanaume nenda hospitali zote watoto wa kike wengi kuliko was kiume inamaana hakuna usawa wa jinsia ndio tatizo.
ReplyDelete