Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema tangu aachane na ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta! Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bihashara ya unga WA lishe ya watoto, inalipa Sana Ata hizo nne Ni chache Sana. Unga WA lishe unalipa Sana. Ndo aridhike acje akajisahau akampelekea unga WA lishe jack cliff alipo. Jamani watoto wamekuwa wakubwa awatumii tena unga WA lishe achenii ridhikeni na mlichopata.

    ReplyDelete
  2. LIONGO HILI....KUTAFUTA KIKI TU...

    ReplyDelete
  3. muziki gani bongo wakukufikisha huko? sembee tu hiyooooo

    ReplyDelete
  4. Sasa wewe meneja unaona wivu? Wacha watu wafanye Yao, wewe mwenyewe unatamani ulipwe hizo ela za fiesta sema hunasoko, pyeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad