AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
acheze mwenyw
ReplyDeleteaache ufinyu wa fikra kwa nn atunge wimbo ashindwa style kumbe ndio zake ku copy na ku pest muda umefika wa yy kuumbua!
ReplyDeleteacha ushamba wewe si analipa.
DeleteHAUMBUKI ANATOA HUO NI UJASIRIAMALI FURSA ANAYEWEZA KUTUNGA NAMNA YA KUCHEZA ANAWEZESHWA MTAJI MILIONI MOJA AKINUNUA MAGUNIA YA MKAA NA KUYAUZA SI SAWA NA MUOTA JUA MPAKA JIONI KUWA NA AKILI KABLA YA KUZODOA BATA KENGE WEE
ReplyDeleteHiyo nyimbo ni aina ya mkwaju ngoma na mchiriku....kwahyo watu wa pwani yaani waluguru,wazaramo na wakutu wanao mtindo wa uchezaji..kwahyo staili ya mchezo huo upo.
ReplyDeletefursa hii najua madensa washaanza kazi
ReplyDeleteTatizo domo uwa atimizi ahadi, alichowafanya watoto WA watu warembo kwenye nyimbo yake ya nataka kulewA! Awakuambulia chochote, cjui uwa anatangaza apate sifa! Acha hiyo tabia domo, mungu apendi mtu asiyetimiza ahadi.
ReplyDeleteanafirwa huyu domo. ni kweli aliwadanganya mabint wawa2 katika video y nataka kulewa. safi xana mdau hapo juu umeongea ki2 kidhuri xana huyu domo la udaku huwa hatimizi ahadi zake.
ReplyDeletedomo kawa handsome
ReplyDelete