Ushahidi Mpya wa Chris Brown kuwa Bado Ana Mapenzi kwa Rihanna

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kila mtu ana story yake ya uhusiano wake na mpenzi wake lakini hii story ya Chris Brown na Rihanna inachukua attention ya watu wengi kutokana na mambo yanayoendelea kati yao.
Kila muda ukipita inatokea tetesi kwamba Chris Brown ana mawasiliano ya siri na Rihanna lakini bado hakukuwa na ushahidi kuthibitisha hilo.
Kitu kipya hivi sasa kinachotafsiriwa kwamba bado Chris ana mawazo na kumbukumbu juu ya uhusiano wake na Rihanna ni kutokana na picha ya rafiki wa Rihanna. Melissa Ford ambaye ni rafiki wa karibu wa Rihanna ali post picha ya Chris na Rihanna na kuandika kuwa ni hao ndio couples anaowapenda.
Baada ya hapo Chris Brown ali like hiyo picha na kuonyesha kwamba amefurahia hiyo post. Kutokana na ukaribu wa Rihanna na Melissa sio rahisi kwa Melisa ku post picha hiyo kama mambo bado ni mabaya kati ya Riri na Chris. Kama kuna lolote linaendelea kati ya Chris Brown na Rihanna lazima Melissa Ford awe anajua kwasababu wapo karibu sana.

Wachambuzi wanasema kwamba kuna kitu kinaendelea chini kwa chini kati ya Chris Brown na Rihanna na hivi karibuni kinaweza kuwekwa wazi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema diamond and penny wako pia majuu

    ReplyDelete
  2. duh wewe umechemsha hizi habari...ni shabiki wa chris brown ndo ali post picha akaiphotoshop ikawa na riri pembeni ndo chris akai like wewe mtoa habari naanza kushikwa na kligeugeu na ukweli wa habari zako ni uzushi mtupu mxiiiiiew

    ReplyDelete
  3. Kumbe vya uongo loooo!7

    ReplyDelete

Top Post Ad