CCM Yakubali Yaishe, Bunge Maalum la Katiba Kuahirishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili zinasema kwamba kikao cha dharura cha CCM kilichofanyika jana kimetaka Bunge la Katiba (BMK) liahirishwe. Hii ni baada ya kujiridhisha kwamba akidi ya 2/3 kutoka Zanzibar haitatimia, hivyo ni bora kuahirisha bunge hilo kuliko kuteketeza fedha za watanzania ambazo zingetumika kubosesha huduma za jamii zilizo taabani kama vile maji, afya, miundombinu na elimu.

Chanzo:Mtanzania

MAONI YANGU
Naona CCM wamesoma alama za nyakati na wamegundua kwamba ngoma ya kitoto wanayocheza haina tija wala maslahi mapana ya umma. Ndani ya CCM kuna watu wenye maono kama Nchemba lakini wanapumbazwa na vilaza wengi waliomo ndani ya CCM  ambao ni mahafidhina wakubwa na wasiotaka kubadilika. Mwisho wa siku maslahi mapana ya umma lazima yazingatiwe dhidi ya maslahi finyu ya vyama vya siasa. CCM oyeeeee!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we admin acha ushabiki wa siasa watu watakimbia kuingia kwenye blog yako, acha ujinga, kuwa kibiashara zaidi, ccm oyeee maanake ndiyo nini? acheni ujinga wafanyabiashara wadogo nyie wakitanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni kweli afanye biashara ya matangazo aache ushabiki wa kijinga, kawebsite chenyewe sioni hata tangazo moja la serikali au ccm kazi kujipendekeza, siji tena humu, na naiblock hii website kwenye computer zote ndani ya organization nayoingoza nawaamrisha IT wafnaye hii kazi mpuuzi kabisa, ccm oye ndio nn , utoto

      Delete
  2. kula ndimu naona admin kakuchefua hahahahahaha.

    ReplyDelete
  3. hahahha we nawe unakosea sio ale ndimu bali ale mbegu za ndimu ili iote tumboni mazima

    ReplyDelete
  4. admin bwege huyu

    ReplyDelete
  5. sasa Wewe tafuta kazi nyingine naona hii imekushinda

    ReplyDelete
  6. Admin kaandika ccm oyeee ya kinafik

    ReplyDelete
  7. kumbe bado yanaendelea na vikao bwana!! admini umeona eeeh na hiyo ccmm oyeee yako!!! umesikiliza habari leo?

    ReplyDelete
  8. VIJARIDA KAMA MTANZANIA,TANZANIA DAIMA,MWANANCHI,RAIA MWEMA NK NI SAWA NA UDAKUSPESHHELI TUU HAWANA UPEMBUZI WALA UCHAMBUZI,SASA WAMEUMBUKA KWA ATIKO YAO KUUBWA LA KIZUSHI!

    ReplyDelete
  9. mdau hapo juu, kumbe na nyie mafisadi mnapataga muda wakuaangalia hizi blog eeh, mimi nilikuwa najua nyie kazi yenu ni kuuulaaa tu!!! mtakuja umbuka siku moja!!! pumbaff!

    ReplyDelete

Top Post Ad