AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Chanzo:Mtanzania
MAONI YANGU
Naona CCM wamesoma alama za nyakati na wamegundua kwamba ngoma ya kitoto wanayocheza haina tija wala maslahi mapana ya umma. Ndani ya CCM kuna watu wenye maono kama Nchemba lakini wanapumbazwa na vilaza wengi waliomo ndani ya CCM ambao ni mahafidhina wakubwa na wasiotaka kubadilika. Mwisho wa siku maslahi mapana ya umma lazima yazingatiwe dhidi ya maslahi finyu ya vyama vya siasa. CCM oyeeeee!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
we admin acha ushabiki wa siasa watu watakimbia kuingia kwenye blog yako, acha ujinga, kuwa kibiashara zaidi, ccm oyeee maanake ndiyo nini? acheni ujinga wafanyabiashara wadogo nyie wakitanzania.
ReplyDeleteni kweli afanye biashara ya matangazo aache ushabiki wa kijinga, kawebsite chenyewe sioni hata tangazo moja la serikali au ccm kazi kujipendekeza, siji tena humu, na naiblock hii website kwenye computer zote ndani ya organization nayoingoza nawaamrisha IT wafnaye hii kazi mpuuzi kabisa, ccm oye ndio nn , utoto
Deletekula ndimu naona admin kakuchefua hahahahahaha.
ReplyDeletehahahha we nawe unakosea sio ale ndimu bali ale mbegu za ndimu ili iote tumboni mazima
ReplyDeleteadmin bwege huyu
ReplyDeletesasa Wewe tafuta kazi nyingine naona hii imekushinda
ReplyDeleteAdmin kaandika ccm oyeee ya kinafik
ReplyDeletekumbe bado yanaendelea na vikao bwana!! admini umeona eeeh na hiyo ccmm oyeee yako!!! umesikiliza habari leo?
ReplyDeleteVIJARIDA KAMA MTANZANIA,TANZANIA DAIMA,MWANANCHI,RAIA MWEMA NK NI SAWA NA UDAKUSPESHHELI TUU HAWANA UPEMBUZI WALA UCHAMBUZI,SASA WAMEUMBUKA KWA ATIKO YAO KUUBWA LA KIZUSHI!
ReplyDeletemdau hapo juu, kumbe na nyie mafisadi mnapataga muda wakuaangalia hizi blog eeh, mimi nilikuwa najua nyie kazi yenu ni kuuulaaa tu!!! mtakuja umbuka siku moja!!! pumbaff!
ReplyDelete