Johari Afunguka:Ray na Ostaz Juma si wapenzi wan na Wala Siwapendi Watu wa Aina Hiyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada anayefahamika kama Blandina Chagula (Johari) amefunguka na kuweka wazi kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Muigizaji mwenzake Ray wala Ostaz Juma kama ambavyo imekuwa ikizushwa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari,Johari amefunguka hayo na Kusema hawapendi watu wa Aina hiyo.

"Ni kweli haya mambo yanakuwa yanatokea na kuzushwa lakini ukweli kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray lakini mahusiano yetu ni ya kikazi tu,lakini pia sijawahi kuwa na uhusiano na Ostaz Juma"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We muongo rey kakufanya, kama sio mapenzi basi mlikua unampa tu

    ReplyDelete
  2. Hahahahaaaa vya kwamba hakuwa mpnz wako sema kama umeachwaa basi usianze kusema sio type yako

    ReplyDelete
  3. Hawakuwa wapenzi ila walikuwa wanazini tuu!

    ReplyDelete
  4. Leo unamkana rey baada ya kutemwa nae....tihitihi!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad