Message za Usagaji za Anti Lulu Zanaswa, Alikuwa Anachat Na Mwanafunzi wa Kidato cha Pili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.

Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, mapema wiki hii na kueleza kuwa amebaini mchezo mchafu unaoendelea kati ya binti yake ambaye ni denti wa kidato cha pili na Anti Lulu.

MSIKIE MAMA MWENYEWE
Akizungumza kwa hasira, Mama Zahara aliwaka: “Mimi nina mtoto huyu tu wa kike, anasoma boarding huko Tanga lakini hivi karibuni alirejea akidai wamepewa likizo ya wiki moja.
“Tangu huyu mtoto amekwenda boarding, nimebaini amebadilika sana, amekuwa na vijitabia ambavyo sivielewi hivyo nikawa namchunguza sana.

“Leo (Jumanne wiki hii) wakati niko jikoni nikasikia anaongea na mtu akiwa chumbani kwake, mazungumzo yale yalinitia shaka kwani kuna muda nikamsikia ‘akimkisi’ aliyekuwa anazungumza naye.
“Nilihisi kitu f’lani lakini nikasema nitamvizia nichukue simu yake nikiamini kama kuna kinachoendelea nitagundua, na kweli, alipotoka kwenda bafuni nikaichukua simu yake na kukutana na mambo ya ajabu.

“Nilinasa hizi sms ambazo zilinionesha waziwazi kwamba mwanangu anafanya vitendo vya kisagaji. Niliumia sana hasa ukichukulia kwamba nina binti huyo tu.“Nilipoichukua ile namba, nikataka kujua kama kweli alikuwa anachati na msichana mwenzake au mwanaume, ikabidi nifanye kama nataka kumtumia pesa kwenye simu yake na hapo ndipo likaja jina la Lulu Semagongo.

“Nilishtuka kwani namjua huyu msanii tangu alipokuwa mtangazaji. Nilipompigia akanijibu kwa kifupi tu kwamba nimlee vizuri mwanangu na yeye hawezi kumfanyia vitendo hivyo, nikaona bora nije kwenu mtanisaidia.”

MESEJI ZENYEWE ZIKOJE?
Zahara: Natamani kufanya kale kamchezo, unaweza kunisaidia?
Anti Lulu: Nitumie pesa!
Zahara: Kiasi gani cha pesa? Pesa siyo tatizo, umenielewa lakini? Nataka tu…(kitendo kichafu).
Anti Lulu: Nitumie hiyohiyo, kwa muda huu nitumie 30,000.
Zahara: Sawa halafu tunaonana vipi?

Anti Lulu: Nitumie pesa muda huu, Jumamosi.
Zahara: Mbona mbali sana mpenzi, leo haiwezekani au hata kesho, pesa siyo tatizo.
Anti Lulu: Nitumie pesa basi.
Zahara: Subiri kidogo baby, simu yenye pesa iko kwenye chaji, usijali, nashukuru kwa kunionea huruma.
Anti Lulu: (kimya).

KESHO YAKE
Anti Lulu: Umeona ishu kunidanganya siyo?
Zahara: Siwezi kukudanganya mpenzi, ndiyo naamka nitakutumia ila usije ukanidanganya maana nina..., hiyo Jumamosi tunaonana wapi?
Anti Lulu: Tuta-meet (kukutana) Bondeni Hotel (ipo Magomeni, Dar), basi nitumie hiyo pesa.
Zahara: Nikutumie kwenye namba hii, vipi tutatumia vifaa?
Anti Lulu: Nitumie kwenye namba hii.

Zahara: Nijibu basi kama tutatumia vifaa au hivihivi…
Anti Lulu: Hakuna haja ya vifaa, mimi natosha…
Zahara: Haya natuma, nitafurahi sana.
Baada ya maelezo ya mama huyo kisha kuziona sms hizo, kweli zilionesha Zahara ndiye aliyekuwa akimshawishi Anti Lulu amfanyie kamchezo hako huku msanii huyo naye akionesha kuujua na kutaka apewe kwanza Sh. 30,000.

Kama ilivyo ada ya gazeti hili kutoa nafasi kwa mtuhumiwa kusikika, Ijumaa lilimsaka Anti Lulu ili kupata maelezo yake ambapo alikuwa na haya ya kusema:

HUYU HAPA ANTI LULU
“Kusema ukweli huyo binti ndiye aliyekuwa akinisumbua kwa kunitumia sms za kunitaka.
“Alionekana kuuzoea na kuupenda sana sana huo mchezo, mimi sijawahi, ni two different things (vitu viwili tofauti).

“Inavyoonekana alitaka kunichafua kwani alinilazimisha sana, sijawahi kufanya huo mchezo na wala sifikirii hasa kwa binti kama mimi ambaye naamini wapo wanaume wanaonipenda, niingie kwenye usagaji natafuta nini?
“Huyo binti mwambieni anikome kabisa.”

KUTOKA MEZA YA IJUMAA:
Ni vyema wazazi wakawa na utaratibu wa kuwafundisha watoto wao juu ya madhara ya kujihusisha na vitendo haramu kwenye jamii ili wawe na mwanga wa maisha yao ya baadaye na hasa viongozi wa kesho wa taifa letu.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. naww anti Lulu kama ulikua hutaki mbona unasema upewe pesa ni za kazi gani?

    ReplyDelete
  2. yap acha dogo akasagwe mana yupo bording afu ukute mama yake anamind xana mwanae acpigwe mboo ndomana dogo kaamua atafute wanawake wenzie wamtoe nyege c umeona anavotia huruma anaxema kazidiwa

    ReplyDelete
  3. huyo dogo inaelekea huko boardinga anawasaga sana wanafunzi wenzie, akirudishwa shule mzazi akachunguze kule shule kwanza itakuwa ndio tabia yake,ndio maana ameshindwa kuvumilia hata hiyo wiki moja ya likizo

    ReplyDelete
  4. Why huyo dent hakuwatafuta wanawake wte walo jaa mpaka akamtafuta lulu itakua ndio kazi yke ya kusaga huyo lulu asibishe 30,000 yy yanini lol

    ReplyDelete
  5. mama nipe namba ya huyo mwanao nitamtomba vizuri atasahau kabisa kusagwa na asipo pata mboo vizuri kamwe hawezi kusahau kusagwa trust me.....mboo tamu ati xema ndo hajaipata we nicontact nae tu atakusimulia

    ReplyDelete
  6. Ahhh,kumbe ndio maana Anti Lulu hatulii na
    wanaume,limezoea kusagana.
    Umeharibikiwa.

    ReplyDelete
  7. bwahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...sasa anti lulu na wewe kuomba 30000 kwa mtoto mdogo huyo ya nini si utafte wasagaj wenye pesa tukusage tukupatie pesa nyingi....na wewe mdau unasema wazaz waangalie watoto wao mana wao ni taifa la badae kwan wasagaj sio taifa la badae.....ambapo kuna wasagaji wana pesa nyingi tuu tena wanachangia uchumi wa nchi ni wafanya kazi wanakatwa kodi na bado wana mabiashara yao wanalipia tax kila kitu sasa wewe unaesema waangalie sana wazaz waangalie nini sasa ...mwachen zahara akasangane ndo raha yake sasa mnataka akapigwe mboo za nini so ndo atatiwa mimba ashindwe shule maisha yaishie njiani bora kusagana

    ReplyDelete
    Replies
    1. duuu yani ww cjui umezaa au bado hujazaa?!!!! natamani uje kuwa na watoto wa kike halafu wote wawe wasagaji cjui utajiskiaje inawezekana tayari una razi ya wazazi wewe mana unaongea kama vile ni kitu cha kawaida kusagana shetani anakutumia vizuri kweli.!!!

      Delete
    2. Mwenzangu muombee huyo. Aliejitoa fahamu. Wala usiombee azae wasagaji maana wakiwa wengi watavuruga kizazi kijacho chote bira azae straight waje kumkanya huyo mama yao asiyejitambua.

      Delete
  8. nani aliwaambia kua usagaji ni ushetani mna upungufu wa hakili watanzania wengi ndo mana wazungu wanawacheka na kuondoka na mali zenu mnabakia masikini wewe unawe kuingilia hisia za mtu kama wewe nani au umechanganyikiwa wewe mdau 3:30.tatizo hamsomi na hamwelewi nini mana ya kufanya mapenz ya jinsia moja na inatokana na nini..wewe hapo ulipo ungekua hutombwi ungeishije kama sio ukuma au unaongea tu..unataka mwanao awe muuza kuma au awe msagaji kipi bora kujiuza na kua msagaji

    ReplyDelete
  9. kazi za kuzimu hizo yawezekana wote wawili wanatumika kuzimu WASHINDWE!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. wapumbavu huongea kama wanaakunya wasagaji wengi sana kwa sasa hata wake za watu wanataka kusagana mabint wote mjini warembo wanasagana jiulize kwa nini..wanaume hawapo au????????????na kwa kifupi ni hivi wasagaji wameshakua na shina kubwa kulangusha sio rahisi mliopo mjin nawapa mda mtembee kwenye mahotel mengi na mabar wasagaji mtawaona ambavyo wamekua wengi na wengi wao sasa wanapambana kutafta pesa ili waweze kuishi na wanawake wenzao vizuri.na hata wake za watu wanawahonga mabint ili wawasage vizuri.huwez kuona msagaji mwenye hakiri amekaa hatafti pesa unafikir hao wasagaj wanaonunulia mpaka magari wasichana pesa wanapata wapi jiulizeni..wanaume wengi kwa sasa hawana mana ..watahangaioka na wanawakeambao hawawezi kutafuta pesa

    ReplyDelete
  11. Any one tusagane nimpe raha za kimataifa nikukojoze mara 10 kwa tamu plz tex me any time 0776906295 tex me any time from now thnx

    ReplyDelete

Top Post Ad