Lady Jay Dee Akanusha Tuhuma za Kutoka Kimapenzi Na ‘Serengeti Boy’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’.

Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba amewahi kuonekana akiwa na gari lake.

Kupitia Instagram, Jaydee ameandika:

Kuna habari za kuniudhi Ila hii imenichekesha. Kwahiyo mtoto wa vitoto ndio bwana angu???? Basi sawa nashukuru naona mmenianzia tena sasa picha za February Na nilizi post mwenyewe humu insta leo ndio mmeziona? Ukweli mnaujua mmeamua tu kuzingua ,,, wangapi wameshapiga picha na hiyo Range? Duuuh! !!!!! Shkamoooni Moyo wangu chuma. Pigeni mawe mpk mchoke Kama ambavyo mmekuwa mkifanya miaka yote na bado nipo hapa hapa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. That's Kommando Jide, amejibu vizuri sana

    ReplyDelete
  2. UNAJUA KUPATA MTOTO NI RAHA MTU ASIKUDANGAYE,SO INAVYOONEKANA HUYU DADA NI FULL STRESS,KWANI AKIKAA KIMYA ATAKIWAJE? NA NDO MAANA GADNER YAMEMSHINDA AKAAMUA KUSEPA COZ HUYU BIBI ANAONEKANA KUWA ANA GUBU SANA. JIDE PUNGUZA STRESS WEWE BIBI BOMBA ,KILA SIKU KULALAMIKA TUUUUUU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuzaa ni majaliwa ndugu,Jide hakuomba kukosa mtoto.
      Na je wewe mwenye kujaliwa kuzaa watoto kumi,
      na kesho Mungu akaita mmoja baada ya mmoja,utakuwa kundi gani?

      Delete
    2. We hapo m*****u wako kwani kaomba kukosa watoto ngedere mkubwa wewe ,hapo ulipo full stress za hao panya wako unaowaita watoto

      Delete
    3. kwa nini akae kimya?kwani yeye si binadamu na ana roho ya kuhisi kibaya kinachomuumiza ?
      Yesu mwenyewe aliongea kuomba kutaka msaada kwa Mungu,
      sembuse Jide.

      Delete
  3. Jide mnamuonea tu.huyu ni symbol yetu wTanzania tumuheshimu kama ansvyojiheshimu.

    ReplyDelete

Top Post Ad