Uraia Pacha Wabezwa Bunge Maalumu la Katiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Suala la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua. 

Katika semina iliyoandaliwa kwa Wajumbe wa Bunge hilo na mada kutolewa na Idara ya Uhamiaji, Abdallah Khamis Abdallah ambaye ni Kamishna wa Udhibiti na Mipaka wa idara hiyo, imeonesha kuruhusiwa uraia pacha ni hasara zaidi kwa Tanzania kuliko faida. 

Suala hilo kwenye semina hiyo likawafanya wajumbe zaidi ya 12 kati ya 16 waliochangia kukataa uraia pacha na kumuacha mwakilishi wa Diaspora, Kadari Singo kutumia nguvu nyingi kutetea uraia pacha huo.  

Wajumbe wa Bunge wakizungumza na mwandishi wameeleza kuwa  Uhamiaji imeeleza kuwa Watanzania wameondoka nchini kwa sababu za kufuata elimu, viapo vilivyowafanya wawe watiifu kwa nchi walizopata uraia na wengine kwa kuitukana nchi haifai na hawawezi kuishi Tanzania.

Mjumbe Wazir Rajab Salum alisema Uhamiaji imetaja faida ya uraia pacha ni za kiuchumi pekee na nyingi ni hasara, ikiwemo kuangalia uzalendo ambapo imeonekana kuruhusu kutapunguza uzalendo na usalama wa taifa utakuwa hatarini
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. heri kuwanusuru mamilion ya wazalendo walioko nyumbani ..kuliko kuwanufaisha wachache walioko nje ya nchi...
    Lakini basi,kama ni kweli lengo la selikari ni kuwapa wazalendo kipau mbele.basi waakikishe kweli wanafaidika,sio wananchi washindwe kurecognize kuwepo kwa RAIYA PACHA NA KUTOKUWEPI..Wazalendo wakaendelea kudhurumiwa na viongozi wakazidi kushibisha matumbo yao

    ReplyDelete
  2. kumanina zenu pigeni box huko nani mnamuona mwendawazimu wa kuwakubalia watu kama ninyi kwa kitu gani mnachokiingiza hapa kwetu tanzania wakati fresh zenu mnakuja na EURO 700 baada ya miaka miwili ati mnaomba uraia za nchi mbili bongo hakuna machizi kama ninyi, hamna mpango wowote huku yamewashinda mnaanza kelele sasa na jeans zenu za shs 5000

    ReplyDelete

Top Post Ad