AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Camera ya mapaparazi ikakutana na mama wa Beyonce akiwa anatoka restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanae na Jay Z. Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa, aliongeza zaidi kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na Beyonce) mambo yao yapo vizuri.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
jamani pesa sabuni ya rohooooo,utafikiri mtu na dada yake kumbeeee mtu na mama yake.
ReplyDeleteHalafu midume ya bongo inataka tuipende na ufukara wao! Mimi mwanaume mpuuzi asiye na pesa wala mipango endelevu ya kumiliki ATM machine apite mbali kabisa!
ReplyDeleteSitaki UMASIKINI wa kujitakia!