Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa ni Marafiki Wakubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. 

Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese. Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni marafiki wa karibu sana Hata Lift Wanapeana bana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad