Pochi Yamsitiri Kajala Masanja Kukaa Nusu Utupu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.

Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo yake muhimu.
Kutokana na hali hiyo, alichukuwa pochi yake na kuiweka mapajani na kufanikiwa kujiziba, lakini licha kufanya hivyo alikosa raha.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu ni mke Wa mtu kashaolewaaa,acheni kumpa kiki

    ReplyDelete
  2. wamama wa kisasa hao..kwa iz picha cjui anamfundisha nin binti ake

    ReplyDelete
  3. Mtoto wake anaingia form one,Jamani kajala namsikitikiaga huyu mwanamke.UNACHOfAnya mwanao anakuiga,kuwa mfano mzuri kwa binti yako mbona hujiheshimu,unajifanya binti kumbe zee na mume juu tiki jela.

    ReplyDelete

Top Post Ad