AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mrembo wa Filamu za Bongo Movies Rose Ndauka Amejimwagia sifa Kibao na kusema ukiwaambia wasanii wa kike wanaojieshimu wapite mbele basi yeye ni numba moja , Amesema amejiwekea utaratibu wa kujieshimu ndio maana watu wengine wanamweshimu tofauti na zamani alipoanza kuwa staa ambapo skendo nyingi zilikuwa zikimkuta, Pia amesema yeye anajiepusha na marafiki wambea na wanaopenda kusambaza maneno maneno na choko choko kwani kwa sasa yeye ni mama wa mtoto na anataka mtoto wake alelewe katika malezi bora.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Basi sawa...tulia tukusifie sisi tunaokuona
ReplyDeleteNikweli unajiheshimu dada, ndo'mana umepiga picha ya nusu-uchi, sio uchi kamili - hongera zako, unakitovu kizuri na kwapa safi....
ReplyDeleteHii inaitwa kill soft. Umemaliza mkuu salute kwako
DeleteHahahahaaaa binadamu wabaya jamannnn,msichokonoe nyuki
Deleteha haaa anonymous 2.01 pm umenichomoa mbavu, nimechekaje!!
ReplyDeletenyooo biashara matangazo, mkundu we
ReplyDeletekama ameamua kujiheshimu ujue kashachoka..
ReplyDeletekachoka kutoa mbwambwa ndo mana kaamua kutulia. kama limeota sugu si aseme
ReplyDelete