AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema Shilole.Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua hamsini zake.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Shilole tatizo lako hukuenda shule na umeingia mjini kwa pupa na nyie ndiyo mnafanya wanawake wadhalilishwe, hakuna sababu yeyote inampa mpenzi wako akupige na ukiona ana tabia ya kupiga mwanamke achana nae kabla hajakutia kilema hafai na usikubali sababu yeyote atakayo toa anaona ina halalisha kukupiga.
ReplyDeleteAcha ushamba sio kila kitu ni chakuleta huku kwenye social media. Mke alielelewa akafundwa anajielewa na kujidhamini hawezi kuwa kma shilole wala kuzungumza hayo hadharani msamaha wenu mlikoseana sie hatuhitaji kuyajua..ipo siku mtatoa ratiba yenu ya kulalana huku kma sio kujirekod mkatutumia..umri umeenda acha kujidai mtoto kua sasa wewe ni mama kumbuka
ReplyDelete