Shilole ni Mkulima wa Mpunga Anayeutaka Ubunge wa Igunga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inawezekana kabisa Shilole akawa msanii ambaye ungedhani angewekeza zaidi kwenye duka la urembo, nguo ama hata madini kwa jicho la kawaida kama akitaka kufanya biashara mbali na muziki. Lakini kwa jicho la tatu usimchukulie hivyo.

Msanii huyo ambaye ni mzaliwa wa Igunga  panapofahamika zaidi kama kwa Rostam Aziz, mbunge aliyekaa muda mrefu madarakani kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Dr. Kafumu ambaye ni mbunge wa sasa, amepanga kuingia kwenye mchakato wa ubunge kwa lengo la kulitwaa jimbo hilo.

Shilole aliiambia Bongo Dot Home kuwa amefanya uamuzi wa kugombea katika jimbo hilo kwa kuwa anaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa na yeye kama mzawa anaamini anaweza kuwasaidia zaidi wananchi wa Igunga.

“Ni kwa sababu ya matatizo yaliyopo. Nimekuwa nikienda naona matatizo kila siku yapo..ndio maana naona kama naweza kusimama na watu wengi sana wakanisikiliza kwa nini nisijitokeze kuwasaidia matatizo yao. Nimezaliwa pale mimi, nakijua kitongoji kimoja baadaya kingine.” Ameeleza.

“Nikipata ubunge kwanza kabisa nitadeal na akina mama, wafanyabiashara ndogondogo waweze kujikwamua vizuri. Pili vijana waweze kupata ajira kwa sababu sasa hivi naona vijana wa Igunga ajira zimekuwa ngumu kupatikana. Kuweka vitendea kazi ambavyo vitakuwa rahisi sana kuweza kufanya kazi na kutoa vijijini kupeleka mjini.” Alijinadi Shilole.

Akiwa kwenye kipindi cha The Jump Off cha 100.5 Times Fm, mwimbaji huyo alieleza kuwa mbali na muziki yeye ni mkulima wa mpunga na ana mashamba mengi ya mpunga huko Igunga
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata form 4 hajafika huo ubunge itakuaje

    ReplyDelete
  2. Kuna mdau mmoja aliwahi kuuliza,hivi ubunge sio lazima uwe msomi?
    Mimi nauliza Kwa upande wa nidhamu,je hata wasiokuwa na nidhamu kama shilole
    wanaweza kugombea ubunge?
    Kwa mtaji huu Tanzania itakuwaje .Mungu wetu tuhurumie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona kwa TZ bora uwe na hela za kuhonga wakati wa uchaguzi,ujue kusoma na kuandika,kusema uongo,sidhani kama kama yayo ya nidhamu na elimu wanazingatia,

      Delete
    2. Ni kweli sio lazima saaaaaaaaana kuwa na nidhamu, huoni hata 'sugu' naye ni mbunge pamoja na nidhamu yake mbovu. So siajabu shishi kugombea ubunge, tena akipitia chadema, ataupata kiulainiiii!!

      Delete
    3. Hahahahahaha,ila wanaudhalilisha ubunge/Tanzania.

      Delete
  3. SHISHI NI MTAMUU NATAMANI UNIPE TENA MH MBUNGE WA IGUNGA

    ReplyDelete
  4. Huyu mtoto wa vigodoro wa darasa la saba toka Igunga ametukana kazi ya ubunge na bunge letu. CV/SIFA za kuwa mbunge sio mapaja meupe tu, kukata viuno sana uchi hadharani kwenye vigodoro; au kupanda ndege na kufika ugaibuni.Wasikudanganye; wanataka ngono hao na ubunge usiupate. Huna sifa ya kupata ubunge Igunga, unakumbuka walivyokufanya siku ulipowakosea adabu ulipokwenda huko na nguo zako za aibu????? Hujakoma.

    ReplyDelete
  5. We kuma uliedharau chadema na sugu kumamako zako..msenge ww mkundu nje..unatombwa na majini ww koma na chadema mkundu mweusi ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama anaidharau Chadema akigombea kupitia ccm watamgombania kama mpira wa kona mpaka nyapu yake iwake moto na ubunge asipate.Chezea matapeli wa chama chakavu ccm wewe?

      Delete
  6. achen ufekelo mbona wabunge weng tu wanajua kusoma an hawajaenda shule. inamana wasio soma hawana haki? mbunge wa makambako iringa. kaingia bungen anajua kusoma tu BT c hyo anasaidia wananchi wake. nw Tanzania kinachomata n pesa tu hata ukiwa na elimu huna pesa n bure tu. xo mjipange. nw pesa ndo mpango mzima chakaliken jaman mkisubir kuajiriwa mtashika adabu. mm nmeishia form four 2009 bt nw namilik mgod. xo akil maarifa ndo mpango mzima. nasaidia vituo vyA watoto yatima baadhi nasomesha familia yang nmeiweka poa xo kama nataka ubunge ctapata. ndugu zang hakuna kitu kizur kama kuish kwa malengo. MM BADO N BINT COZ AM 24 NW. na nilfanya hv kwa kumuonea wivu FLAVIAN MATATA. xo kuwen na wiv wa maendeleo. na c kuponda kila kitu.

    ReplyDelete
  7. pumbu uvimbe huyo anaetukana chadema anakanyagwa ma mapaka!!!!

    ReplyDelete
  8. Eeeeeee unamiliki mgodi wa changarawe au?

    ReplyDelete
  9. Hapana sio wa changarawe ana maana ya buzi!

    ReplyDelete
  10. Hahahahahahahahahahahahahahaha... daaaah, me alinchanganya huyu 6:23 kusema kamaliza form 4 2009 na anamiliki mgodi... kuuuuumbe mgodi wenyewe buzi??? Hahahahahaha.. akili ya kitoto.. chezea bongo wewe!!

    ReplyDelete

Top Post Ad