Video Mpya ya Nay wa Mitego ya Wimbo Mr Nay iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu Hii Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazame hapa Chini alafu uniambie Kama umeikubali ama Laa!

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu jamaa sasa ndo anadhihirisha kuwa yeye ni agent wa lucifer, anyway tutafika tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli, watu waingalie hii video kwa jicho la tatu, sio kila wanachokifanya wamarekani lazima tukifanye au tukiige.

      Delete
  2. anataka kunywa damu za watu xaxa ni muda wa kurudisha kwa wenyewe mavuno yao freemason

    ReplyDelete
  3. Sasa naona NEY wa Mitego umeeuza Roho yako kwa Baphomet lazima ulipie mafanikio uliyoyapata hilo aliepukiki na sisi wenye jicho la tatu ujumbe wako kwa taifa tumeulewa labda hao mapimbi wenzio wenye macho mawili..

    ReplyDelete
  4. Jamaa aliposema ukweli kuhusu hawa watu na nguvu zao za giza kupitia "njia panda" ya Clouds FM, TCRA waka'mind kinoma, sijui na wao wanajihusisha na mambo hayo...??!!

    ReplyDelete
  5. haya mr nay tumeiona...

    ReplyDelete

Top Post Ad