Yanga na Mchezaji Okwi Hapatoshi..Hivi Huyu Mchezaji ana Matatizo Gani ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Klabu ya Young Africans imemshitaki mchezaji Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuwasilisha nakala kwa shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) na shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa kuingia mkataba na timu nyingine wakati akiwa bado ana mkataba wa miaka miwili.
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga mitaa ya Twiga/Jangwani, mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji amesema wameshangazwa na kitendo hicho kilichofanywa na viongozi wa Simba , wakala wake na mchezaji mwenyewe.
"Emmanuel Okwi awali tulishapeleka malalamiko TFF na kuwapa nakala CAF na FIFA juu ya kufanya mazungumzo na timu ya Wadi Degla FC ya nchini Misri na kufikia klabu hiyo kutuma ofa ya kutaka kumnunua bila kuwasiliana na uongozi wetu" alisema Yusuf.
Ikiwa hilo tunasubiria majibu kutoka TFF jana mchezaji huyo amesaini mkataba mwingine, hii inaonyesha ni jinsi gani mchezaji huyu kuna watu walikua wanamrubuni,kwa kusaini mkataba mwingine kitu ambacho amekiuka sheria za FIFA za usajili.
Baada ya kuona jana amesaini mkataba na Simba, Yanga tulichokifanya leo ni kuandika barua nyingine TFF juu ya suala hilo na kuomba kulipwa fidia ya US Dollar 500,000 (sawa na TZS 800,000,000/=) kutoka kwa klabu ya Simba, wakala wake na mchezaji mwenyewe aliongeza "Manji"
Aidha uongozi wa Yanga umeiomba TFF kuwa imelipatia ufumbuzi suala hilo ndani ya siku saba, na kama siku saba zikikpita basi uongozi wa Yanga utakwenda moja kwa moja FIFA na ikishindakana mahakama ya soka CAS.
Lengo sio kuikomoa timu ya Simba, bali tunachotaka ni sheria ifuatwe, Okwi alikua ameitumikia klabu ya Ynaga kwa kipindi cha miezi sita tu, na kuwa amebakiza mkataba wa miaka miwili mpaka msimu mwishoni mwa msimu wa 2015/2016.
Mchezaji anayekutwa na kosa la kusaini sehem mbili adhabu yake ni kufungiwa kucheza soka kuanzia mwaka mmoja na kuendelea huku klabu husika ikifungiwa kusajili kuanzia miaka mwili na kuendela na kushushwa daraja au adhabu zote kwa pamoja.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu jamaa ni kama demu tu, anachukua pesa za watu halafu anaringa, ngoja sasa yanga watamfira, kama mlivyomsikia Manji jana, hachezi bwege huyu!!

    ReplyDelete
  2. Okwi umejinyea,jisafishe,omba msamaha yaishe.

    ReplyDelete
  3. hivi sintah amezaa na huyu ama?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

      Delete
  4. Hivi huyo Manji alishamlipa Mzee Mengi ile faini ya shillingi moja? Anapenda kesi kama Mtikila!!

    ReplyDelete
  5. okwi karibu sana mcmbaz achana na hao malapa

    ReplyDelete
  6. NYUMBAN NI NYUMBAN 2 N
    A MWENDA KWAO CKU ZTE HAOGOPI GIZA... YOUR WELCOME OKWI.

    ReplyDelete
  7. Manjo ndo alikua anamdai mengi sh moja na si mengi kumdai manji.. huyu mchezaji tapeli kuma huyu, anaona tanzania sehem ya kuchuma so anachkua tu hela, ndo maana hapigi hatua mtu ka mbwana samata yupo mbali yy kabaki kuhangaika tu na utapeli wake... sasa kaingia pabaya, atamtambua manji nani

    ReplyDelete

Top Post Ad