AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Naitwa naomi, kweli niliposikia kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni nilifurahi kwa kuwa niliona kama vile yanakuwa kweli lakini sasa hivi nimeanza kupata mashimo mashimo pia yanauma sana mpaka yanakuwa mekundu, ukweli yamekuwa mzigo kwangu Hata sijui Nifanyaje Jamani ...? Naombeni Ushauri jamani
Follow us:
Instagram: @udakuspecially
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
mjini msingi kiuno achana na makalio jamani ona sasa
ReplyDeleteDuuuuuu,turidhike na jinsi Mungu alivyotuumba jaman,nakushauri uende hospitali unaweza pata dawa ya kuzuia uharibifu zaidi.pole sn
ReplyDeleteFirwa
ReplyDeleteNdo mkome kukuza makalio ili mfirwe
ReplyDeletendio mkome
ReplyDeleteKachome sindano nyingine
ReplyDeletepole bt huo ni ujinga wako
ReplyDeletekwan ulivyonunua ukujua au ukuwai kuckia kuwa ni hatari@ Notorious Hillary
ReplyDeleteHahahahahahaha mwee!Kamuombe ushauri aliyekushauri/kukushawishi/kukuambia kuwa kuna dawa za kukuza makalio.
ReplyDeletejamani ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mjini ni shule.
ReplyDeleteMbona mazuri tu hayo mie hapa nayapigia Nyeto usiku huu
ReplyDeleteSasa umeshakuwa Teacher mama, elimu hiyo uwagawie na wenzio waliokua na mawazo ya kukuza makalio kama wewe, POLE SANA MAMA.
ReplyDeletepole mwana binadam tunajifunza kwa makosa yetu sasa mungu ni mwema mrudie tu ili akuponye pole sana
ReplyDeleteMh!!
ReplyDeletepole!!
ReplyDeletemototo akililia wembe mpe!asiyesikia la mkuu huvunjika guu, majuto ni mjukuu,Mungu harekebishwi hata siku moja! alivyokuumba wewe hakukosea! ivi kwann tunashindwa kujiuliza hasa sisi wadada mbona hao wanaotutengenezea hizo dawa wao hawazitumii? tena bora ya sisi tumependelewa Mungu katupa miili mizuri na shepu nzuri kbs! lkn bado tunaona haitoshi!kina dada wenzangu tusifwate mikumbo yawezekana hata huyu mwenzetu alishauriwa tu pasipo kujua impact yake itakuwa nn! pole sana jaribu kwenda hospital yawezekana ukapata msaada wa matibabu! Naamini umeshajifunza vya kutosha!!!!
ReplyDeletelearn to appreciate wat u have dada
ReplyDeletepole yako mama ringa na wowowo lako mama
ReplyDeleteMmmhh hiyo picha naijua ni illegal injections. Kwnz ht si mbongo. Though hzo dawa si nzuri bt wabongo kwa kuzindua habar kutoka kwa habar zngne...
ReplyDeleteHiyo pic na hiyo habar n vitu vwili tofauti. Ht si mbongo huyo
ReplyDelete