AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wakati wimbo wa MdogoMdogo ukiwa bado unasumbua kwenye media, Diamond Platinumz anatarajia kurusha mawe mengine mazito zaidi kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amesema mkali huyo anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo na kwamba zote zimetayarishwa nje.
“Tusubirie kidogo, baada ya miezi miwili mitatu tutaongea kwa sababu kuna kazi zinakuja, Diamond anarelease ngoma mbili mfululizo na zote zimetoka nje. Lakini hatuwezi kueongea sasa hivi hadi muda ufike.” Babu Tale ameiambia tovuti ya Times Fm.
Inaonekana Diamond hataki kuacha gap, anakandamizia palepale azidi kwenda juu na kutwaa tuzo nyingi za kimataifa kama alivyofanya mwaka huu.
Endelea kusubiri, tutakujuza hapa hapa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
uko insta kuna umbea moto moto nini kinaendeleaa jamani c muumwage na apa uwiiii!!!
ReplyDelete