Kajala: Watu Wanaamini Sana Magazeti, Sina Utajiri Huo Wanaousema na Siwezi Kumwajiri Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika.

Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na mpango wa kumwajiri Wema Sepetu ni uzushi mtupu. “Mbona maisha yangu ni ya kawaida sana,” Kajala aliiambia Bongo5.

“Mimi naona nipo vilevile hakuna kubwa sana lililongezeka. Nafanya shughuli zangu tu. Tatizo watu wanaamini sana magazeti. Mimi i sina utajiri huo wanaouzungumzia, Kajala ni yule yule,” alisisitiza.

Hivi karibuni Kajala alizindua filamu yake fupi iitwayo ‘Mbwa Mwitu’.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sawa hauna utajiri mkubwa tunajua,lkn mshukuru mungu kwa hicho kidogo alichokupatia,cha muhimu unaweza kusimama kwa miguu yako,ukamlea na mtoto wako vizuri basi inatosha mama,hayo mengine waachie walimwengu,maana magazeti ndio yanayoletaga chokochoko,watu wakigombana wao wako pembeni wanawacheka.

    ReplyDelete
  2. walimwengu ndio walivyo kajala big up na movie yako ya mbwa mwitu hao wanaosema huwezi kitu watuonyeshe za kwao basi!!

    ReplyDelete

Top Post Ad