Kisirani Champonza Lulu Michael…Tajiri Wa Madini Ammwaga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa  kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa  kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.

Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa  zinadai  kuwa miezi ya  hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo. 

Chanzo kimoja kikizungumza  kwa  sharti  la  kutotajwa  jina kimesema:

 ” Lulu ni mtu mwenye kisirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana. Nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvunja simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa” 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hvi haka kabinti, shule ndiyo basi tena eehh?

    ReplyDelete
  2. Kama ni hivyo mwisho wake mbaya atapata mmoja amfungie kazi, haioni mifano ya wazi inayotokea mbele ya macho yetu mmoja ni ule mwanamke kafuatwa na jamaa toka mwanza na kummaliza kabisa, huwezi kuwaona watu wajinga muda wote ukawacheka kuna siku atalia si mchezo mzuri anaocheza hakuna cha bure.

    ReplyDelete
  3. Nahisi ni mapepo,mi mwanaume wangu akiniboa navunja fanicha na vyombo vyoote.lol

    ReplyDelete

Top Post Ad