AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza.
Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.
Martin aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata hawamjui.
Follow us:
Instagram:@udakuspecially
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeletesafi sanaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteya kukaa kwa wema yametoka wap nyie mikundu mtaacha lin ku promote bifu?
ReplyDeleteNlitegemea much better than that kwa mbwe mbwe zake za saa ya milioni 16....mbtaa...kumbe hamna kitu...mbtaa...kwa style hii i think the guy needs a manager...
ReplyDelete