Mwigizaji Nora Amchana Live Live Kajala Masanja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na wanaume wapate ‘soko’ kiulaini.

Aliongeza kuwa, watu hao kupitia vitendo hivyo wamekuwa wakiichafua tasnia kiasi cha wote kuonekana hawafai (samaki mmoja akioza, ni wote).

Nora alikwenda mbali zaidi alipoulizwa na Salama ni nani na nani hawafai na nani wanafaa, alishindwa kuwataja kwa majina moja kwa moja lakini mtangazaji huyo akaomba ataje majina yeye kisha Nora aseme kama anafaa au hafai!
Salama: “Kajala.”

Nora: “Huyo hamna kitu.”
Salama: “Batuli.”
Nora: “Huyo pia hamna kitu.”
Salama: “Lulu.”
Nora: ”Huyo safi.”

Salama: “Mlela (Yusuf).”
Nora: “Huyo hamna kitu.”
Salama: “Steve Nyerere.”
Nora: “Huyo hamna kitu.”

Salama: “Hemed (Suleiman).”
Nora: “Hamna kitu hapo.”
Juzi gazeti hili lilimsaka Kajala kwa njia ya simu hakupatikana, lakini mmoja wa watu wake wa karibu alisema staa huyo ameshangaa sana Nora kutaka kurudi juu kwa kutumia jina lake.

“Kajala amezima simu, lakini kamshangaa sana Nora, alishazimika, sasa anaonekana anataka kuwaka tena kwa kutumia jina lake,” alisema mpambe huyo.
GPL

Follow us:
Instagram:@udakuspecially
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli nyinyi udaku mnapromote bifu sasa mumemuona kajala tu mbona hamjasema wote alowataja sio siri mnaboa

    ReplyDelete
  2. huyu nora anabwia unga?mbona kachoka sana jamani?au ndio maisha maisha magumu?

    ReplyDelete
  3. Wanaboa haswa kwanza yote yamechochewa na salama wala mdada wa watu hakutaka kutaja yoyote salama alimlazimisha sana na alishasema anaishi maisha yake hataki bifu na mtu,.nimeangalia kipindi mwanzo mwisho na kwa hemedi alisema anaweza acheni udaku

    ReplyDelete
  4. HIVI WW NORA HUYO LULU ANANAFUU GANI? AU NDO CHANGU MWENZIO MALAYA WW, SASA KAJALA WAWEZA MLINGANISHA NA LULU MALAYA WW, SURA MBOVU KA UCHI WA KIMA MZEE AU NDO WATAFUTA KIK KWA KUPITIA KAJALA, KAMA UCHI WAKUWASHA NENDA KATOMBWE MALAYA WW KWA MAANA NAONA SIKUHIZI UMEISHIWA SASA WATAKA KURUDI KWA KUTUMIA KAJALA!! MWEHU WW

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lulu? Duu jamani,give her a little credit,at least she is talented,
      Tusimbanie bhana!

      Delete
    2. Yap.mnyonge mnyongeni
      lakini haki yake mpeni,Lulu anajitahidi sana.

      Delete
    3. una hasira hatari.. kunywa maji kwanza ndo urudi huku kuandika mitusi yako!!"Lulu yupo vizuri jamaniiii",mpeni tu haki yake!!

      Delete
  5. kwakweli msitengenezee watu bifu kama ni mkasi tumeangali na hemedi hakusema hivyo..........na kwanini kajala tuuuuuuuuuuuu_! hao wengine hujawaona nyoooooooooooooooo acha umburura

    ReplyDelete
  6. Kwanza ht lulu hakutajwa tumeangalia mkasi mwanzo mwisho alitaja johari wolper kajala na mlela basi hawa kweli wadaku na nora alikataa kabisa salama yy akaanza kutaja majina

    ReplyDelete
  7. TAFUTA MGANGA MWINGINE AKUTOMBE USHAZOEA WANGANGA WEWE, KWISHINEYE UMEOLEWA BADO TENA UMEACHIKA TAFUTA LIMBE MWINGINE

    ReplyDelete
  8. Ndio tuamini kuwa Udaku habari nyingine ni CHUMVI ili kuuza magazeti,
    kama ile ya mbasha,hapana,wamechangia sana kuporomosha,wao na bosi wao wote
    MBEGESIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  9. ''UDAKU'' you are 100% wrong.

    ReplyDelete
  10. HICHO KINORA CHENYEWE KINAWASHANGAA WENZIE WAKATI CHENYEWE KIMAKAA MAZIWA NJE KIUNO WAZI, KWELI KINATAFUTA KIKI KUPITIA KWA KAJALA, UMESHAKWISHINEIII WEWE, KAMTAFUTE WAGANGA HATA TABATA WAPO NJOO AU NENDA LOLIONDO KWA BABU

    ReplyDelete
  11. Ndio wadau mnakumbukumbu Nora aliolewaga Na mganga anatembea limbe,hivi Yule mganga aliishia wapi?Nora kipindi kileee kalikuwa kazuri,

    ReplyDelete

Top Post Ad