Moses Iyobo wa Aunt Ezekiel Amkana Mke Wake..Asema Hajaoa Bali Amezaa Tuu na Mwengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema
MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa  hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi.

Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa kama hujao ndio utoke na wake za watu??

    ReplyDelete
  2. Stori: Imelda Mtema/ story ya uzushi iyo

    ReplyDelete
  3. ivi yuhu mwandishi haonagi shida kuumiza wengine mioyo yao mana kama shosti wake aunty ezekiel anagawana nae punga kwa stori za uwongo sasa huyu dada atajiskiaje kweli ata kama hajamuoa pengine wanaishi pamoja ndo kibongo bongo wanaitana mke na mume lol, wengine wanatafuta kiki ata kwa kuharibiwa majina ndio uyo iyebo na anti yake njaa hizi ni shidaaah

    ReplyDelete
  4. hii Issue ya aunt na Iyobo Kila siku Mtoa habar hiz n Imelda hakuna mwandish yeyote anayetoa habar za hawa wehu zaid ya ww wote wasenge 2

    ReplyDelete
  5. IMELDA EBU NIAMBIE HUYU AUNT JINA LAKE HALISI NI NANI? NASIKIA TU EZEKIEL NA EZEKIEL NI JINA LA KIUME SASA NI VIPI?

    ReplyDelete
  6. Mwengi wewe nawe ndio ukome umezidi kiherehere chakutaka umaarufu umevunja ndoa yako ya halali kukimbilia kwenye family ya ngololo umewahonga pesa kina Esma weee mwisho wasiku wamekugeuka, umejibebesha mimba haya na arobaini ukafanya umemwaga mihela weee mbagala nzima wajue mr ngololo una fahamiana nae unakosa nini nyumbani kwenu mtoto wakishua wewe unagombana na waswahili kweli? Hiyo ni laana ya mama ako na mumeo kidevu ona unavyozalilika umekuwa mchafu mbaya usmart wako wote umekwisha mtoto wa umesoma green heka leo hii unagombania mboo na mwanamko wa mwanayamala......hujui hadhi yako jamani dunia itakufunza umekuwa kama mama lishe kah

    ReplyDelete

Top Post Ad