Mwanamitindo Hamisa Mabeto Amwanika Mpenzi Wake na Kumwagia Sifa Kede Kede

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem.

Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote kuanzia sasa na jina lake ataliweka hadharani soon!

Aliendelea kusema kuwa wana miezi sita mpaka sasa na amekuwa mtu ambaye anajua nini thamani ya mapenzi kwani muda wowote akimuhitaji anakuwa karibu yake.

Ni kweli ni mpenzi wangu ambaye tunapendana sana na muda wowote kuanzia sasa tutafunga pingu za maisha kama mipango yetu ikikaa vizuri,” alisema Hamisa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli mahaba niuwe miez sita ndo mnaoana soon?????ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,stak kushuhudia divorce

    ReplyDelete
  2. Muongo,Fulani kam accuse anatembea Na bwana yake ndo kaamua kuzusha Kama alivyozushaga kwa Bikira Wa kisukuma ili kuweka Hilo soo liwe lepesi,Hana lolote ni Kiki za umaarufu.Hatukujuuiiiiiiii ,NDUKIIiiiiiiiii

    ReplyDelete
  3. Anawadanganya wajinga.Hana uhusiano Na huyo kaka ni picha tu Kama alivyozushaga kwa Bikira Wa kisukuma ili apate umaarufu,watu wanalilia umaarufu,kiruuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad