Martin Kadinda Aweka Picha ya Geto Lake Kudhibitisha Ana Maisha Mazuri na Wala Haishi Kwa Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza. 

Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.

Martin aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata hawamjui.

Follow us:
Instagram:@udakuspecially
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAFIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  2. safi sanaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. ya kukaa kwa wema yametoka wap nyie mikundu mtaacha lin ku promote bifu?

    ReplyDelete
  4. Nlitegemea much better than that kwa mbwe mbwe zake za saa ya milioni 16....mbtaa...kumbe hamna kitu...mbtaa...kwa style hii i think the guy needs a manager...

    ReplyDelete

Top Post Ad