Picha: Beyonce Ajibu kwa Vitendo Tuhuma za Kuhariri Picha Inayoonesha Sehemu ya Mwili Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana mashabiki walimshambulia Beyonce kwa picha aliyopost kwenye Tumblr ikiwa ni moja kati ya picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa alizopiga mapema mwezi huu, ikimuonesha akishuka ngazi akiwa ndani ya vazi la ufukweni.

Madai ya mashabiki hao yaliyowekwa kwenye mtandao wa TMZ pamoja na picha ni kwamba Beyonce alihariri sehemu iliyoonesha nafasi kati ya mapaja yake ili aonekane mwembamba zaidi.
“Questionable thigh gap there, Bey. #photoshop #wonkystep #beyonce,”aliuliza shabiki mmoja.

Bado swali linabaki kuwa, je, watu maarufu huamini wanakuwa na mvuto zaidi wanapokuwa wembamba kuliko walivyo na bantu figure?

Masaa machache baada ya tuhuma hizo kuenea, Beyonce aliamua kujibu kwa vitendo kwa picha zinazoonesha uhalisia wa mwili wake na kwamba hakuna ‘Photoshop’.
Hata hivyo, hii sio mara ya kwanza kwa mashabiki kumtuhumu Beyonce na Jay Z kufanya photoshop ya picha zao ili aonekane mwenye mvuto zaidi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo picha ya juu inaonyesha beyonce anakiyumbua kikubwa, Jay Zatakuwa anafaidi mautamu mpaka basi

    ReplyDelete

Top Post Ad