Picha: Samaki Mwingine Aina ya Nyangumi Aonekana Ufukweni Pemba, Wananchi Wachangamkia Nyama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aaaah jamani maustaadhi na vibudu!!!

    ReplyDelete
  2. Hmmm Njaa hizi mbaya chochote kinachojili njaaa ikizidi mwanadam anajisevia, sasa hili linyangumi, hawaelewi limepatwa na nini, mnyama mkubwa kama huyo. hapa si kula vibudu tu..

    ReplyDelete

Top Post Ad