TBS: Wananchi Acheni Kununua Nguo za Mitumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shirika la Viwango (TBS) limewataka wananchi kutonunua nguo za ndani za mtumba ili kuua soko la bidhaa hizo zenye athari kiafya.

Kaimu mkurugenzi anayehusika na udhibiti ubora wa TBS, Mary Meela alisema nguo hizo ni hatari kwani zinaweza kueneza magonjwa mbalimbali hasa ya ngozi.

Alisema lengo la ombi hilo ni kukomesha uuzaji wa nguo hizo ambazo zinaweza kusababisha maambukizi kutoka kwa aliyekuwa anavaa nguo hiyo kwenda kwa mtu wa pili.

Meela alisema shirika lake linashindwa kukomesha biashara hiyo kwa sababu halijapewa nguvu za kisheria kukataza watu kufanya biashara hiyo kama ilivyo Zanzibar, hivyo amewataka wananchi kutambua madhara hayo na kuacha kununua.

“Nguo za ndani zina bei ndogo hata mtu wa chini anaweza kumudu. Sioni sababu ya mtu kwenda kununua za mtumba,” alisema.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. strong point ni znaweza kusababisha maambukizi kutoka kwa aliyekuwa akivaa kwenda kwa mvaaji wa pili,,,,sasa kama masikio yako utatia pamba juu ya hili ongeza zingine zijae

    ReplyDelete

Top Post Ad