AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Leo ndiyo rasmi CHADEMA imetangaza kuanza migomo, maandamano nchi nzima lakini kwa hapa Arusha mjini polisi tangu saa kumi wamejazana sehemu zote ambazo kuna uwezekano CHADEMA wakakusanyika ama kuanzia maandamano yao au kuweka kambi na cha kushangaza nimemuona na rafiki yangu ambaye ni mwanajeshi nae kajaa magwanda ya polisi nikamuuliza vipi siku hizi wewe ni polisi kaniambia hali ni mbaya sana kwa jeshi la polisi wameomba tuwasaidie.Ameomba atanipigia simu kunielezea.
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Nanyie polisi mnawachekea na kuwapa kichwa hao chadema..... fanyeni kweli bana tuone sinema live
ReplyDeleteUmeonaeeeh. Mi'natamani nimuone Mh. Tundu Lisu jinsi anavyo jaribu kuzuia virungu visitue kichwani, huku nae Mbowe kama namuona anavyo timua mbio kujiokoa, teh teh kule Dr. Slaa akiukinga ule mkono wake mbovu usikanyagwe, aisee litakuwa bonge moja la movie. Chadema msikubali kabisa, andamaneni tupate cha kuangalia ktk taarifa za habari usiku, huku sisi tukipata dinner. Peeeeeeeeoplessssss powerrrrrr
Deletepeoples power mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHapana !! polisi wanatakiwa walinde maandamani sio kupiga watu!!
ReplyDelete