AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.
Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa single mums.
Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?
Au ni gharama za harusi?
Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.
Na hamuwatendei haki wanawake.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Lazima tuchague mambo yakuolewa tu kuridhisha watu hayafai.nawanaume wamezidi mtu unaona waii achanizae katoto kangu.naukishazaa upendo wote kwa mtoto miboro unasahau au huonitena umuhimu especially kama ukizaa nalijitu likakukera ndiokabisaa,wafwatao wote kazi kuwaamini
ReplyDeletenoma duh
ReplyDeleteNdio wanaume SI ndio hao hao nao siku hizi wanafanya ya kike? Utaolewa na mwanamke mwenzio
ReplyDeleteSIO GARAMA BALI NI UPEO WA WANAWAKE WALIOKUWA NAO SASA ZAMANI MWANAMKE WALIKUWA WAVUMILIVU LAKINI SIKU HIZI HAKUNA UVUMILIVUU HUO NDIO MAANA WANAWAKE KWA WANAUME HAWATAKI NDOA BALI WAISHI TUU WAKICHOKANA KILA MTU ANACHUKUA CHAKE
ReplyDeleteMi sijapata wa kuoa kwani kila ninayemfuatilia nakuta anatembea na mume wa mtu...Hawataki wanaume single eti hawajui kutunza.....Nayo ni akili pia hongereni
ReplyDelete