Watu Wengi Sana Hasa Wanawake Wamefanya Whats App Sehemu ya Kujifariji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


I hate WhatsApp na Mitandao mingine kama fb from the bottom of my heart (nipo huko kwa sababu kuna some meaningful contacts), lakini acha tu niwepo, maana wakati mwingine hii mitandao inanisaidia kufanya research zangu na Biashara.

Tatizo ni badala ya watu kuitumia kuwasiliana kwa mambo ya maana na kuwa na mipaka ya ni watu gani wapate messages wanazoandika, basi unakuta kwenye STATUS za whatsApp chini ya profile, messages kama vile:

"I luv u dady, can't wait to 've ur f" (Unakuta ni uzushi tu, hakuna chochote, hajaolewa wala nini, kama sio ufuska ni nn?)

"Oh baby, I can't forget that f u gave me last night" (Sijui alikutana na mtu tu akamnyapua, yeye tayari keshaanza kumpublish kama baby)

"We are the real lovers, no one can separate us" (Unakuta ndoa inatemblea drip, ina migogoro balaa)

"luv luv luv u my husband, u know ur a gentleman" (Mkianza kuchat anamdis jamaa)

"This is my beloved son, he was born when his father was going to Europe, so two in one!" (Europe tandika! Hajui hata Airport iliko!)

"Kill them with succes n burry them with Smile" (Unakuta mambo yamemgomea, hasa vitoto vya shule, may be hata amedisco, mafanikio yatakuwa yake!)

"I'm single but this does not mean I'm available" (Hapa amechakazwa, hadi hajijui status yake!)

etc, etc, etc.,

Bado wale wanaojipa matumaini na kujifanya mara wanampenda Mungu sana, sijui Yesu na wakati hata hawamjui! 

Bado picha za uchi - kuonyesha nyonyo, mattako, mara wanapeana kisses,mara wamekumbatiana.

Yaani kuna vimbwenga visivyokuwa vya kawaida na visivyoisha! Wengi wao huwa nadelete namba zao za simu, nikiwavumilia huwa nawablock. Wale ninaowavumilia sana huwa nawaacha tu kama walivyo!

Baada ya kufanya research kuhusu hawa watu hasa wa WhatsApp ndipo nilipogundua yafuatayo:

1. Wanaoandika message kuonyesha wanawapenda wenzi wao, wala hawawapendi - ukiwapa tu nafasi ya kuchat wanaanza kuandika maneno ya usaliti kuhusu wapenzi wao

2. Wanaoandika msgs kujifanya wamewamiss wenzi wao - hawana hata wapenzi wa kusingizia, wanajifariji baada ya kukataliwa, wewe waruhusu tu kidogo waongelee habari ya mapenzi, mbona majanga!

3. Wanaoandika msgs kali kali kuhusu mapenzi e.g. "leave me alone", "Kwani mapenzi/mwanaume kitu gani" - wametendwa baada ya kuwavamia wanaume kichwakichwa

4. Wengine wanaandika msgs kama vile "Sexy me", "love myself", - hawa wanatafuta attention ya wanaume na kujaribu kujipandishia self esteem.

5. Bado wale wanaoweka picha za magari, majumba na kuandika "Hapa ndio kwa hubby", sijui "I'm tired driving this BMW thing, need to change a car!", - hawa wanataka kujionyesha kuwa mambo yao safi hata wasipoolewa maisha yatasonga kwa nguvu ya wallet.

Yaani kuna mengi, mengi .........
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani nimecheka Leo admin umeongea point sana. Hongera

    ReplyDelete
  2. " Watu wengi sana hasa wanawake wamefanya whats app sehemu ya kujifariji"
    Ni kweli,nimependa,nimecheka kwa hivi vichache ulivyoaanisha kwa wanawake.
    Sasa tunaomba na kwa upande wa wanaume,vinginevyo tutaona kuwa una lengo baya kwa wakina dada.

    ReplyDelete
  3. Dah!!! very true yaani mie wananikera wale wanaokutumia msg mirefu wakati hata wao kusoma hawawezi kuyamaliza

    ReplyDelete
  4. Ninachojua mimi kwenye whatsup watu ulionao ni wale uliowasave kwenye original kadi yako. So kama una watu wana status za namna hiyo ujue na wewe ni mmoja wao wanaoact maisha kwakuwa mpo relevant. Baadala ya kugeneralise gundua hayo ni makosa yako kwakuwa na contact na watu wasio na faida kwako na jipange upige chini fake people wako. Wengine tunaona whatsup ni bora zaidi kuliko hizo fb, insta n.k

    ReplyDelete
  5. admin ulitaka tuweke status za huzuni au ulitakaje maana sijaeleweka au tuweke hi there am using wassap maana umeweka ujinga au unachuki na kina dada

    ReplyDelete
  6. Weee udaku unawasema watu ambao una contact now, ulijuaje wanawake ndio wana penda kuweka status hizo, ina maana wewe una mawasiliano na wanawake wote wanaotumia whatsup? Kama wana kukera waambie si unw namba zao za sm na ukiona vipi piga kimya usisome profile zao.

    ReplyDelete
  7. Kwani wanaweka kwenye profile yako?? hayo hayakuhusu umeshasema wanajifariji, mwisho wa siku raha jipe mwenyewe,acha umbeya piga kazi jenga taifa, hayakuongezei chochote maishani mwako, leta mada za kutujenga thats personal meeen.

    ReplyDelete
  8. Kunammoja hapo juu kaongea lamaana hao uliowasave kwenye cm yako ndio vmeo kwahio wewe pia kimtazamo nikimeo.kama vipi futa nambazao save namba za watu real ambao si fake zone.mihuwa sisomi status ya mtu marachache sana huwa nadharau.

    ReplyDelete

Top Post Ad