AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wiz Khalifa amezungumza haya baada ya Amber kusema kuwa Wiz alikuwa na wanawake wengine, Wiz amesema ni kweli Amber alinikuta na mwanamke ndani ya nyumba saa nane usiku ila tulisha achana kwahiyo sikuwa namsaliti. Wiz aliendelea kusema kuwa amehamia nyumba yake nyingine ila Amber alizidi kumfuatilia. Wiz Khalifa bado anaamini Nick Cannon anamahusiano na Amber Rose.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
wee ukutwe na mwanamke saa nane usiku halafu husema hajakufamania!! wanaume bwana mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!!
ReplyDelete