Birthday ya Wema Jana: Diamond Amnunulia Gari Jipya Kama Zawadi ya Birthday

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa…lakini tu sina uwezo huo mumy… tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo….” Huku akionesha gari hilo pichani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnakumbuka Diamond amewahi kutoa picha ya gari v12.akidaamenunua kumbe ameazima kwa chief kiumbe.
    Tuwe na subira yanayofanyika hapo ni maigizo.
    kumbuka wote Diamibd na Wema ni watoto wa Tandale.Wanapenda masifu ya madream.

    ReplyDelete
  2. ramba ndimu kaka tena tafunia na pilipili haswaa!!

    ReplyDelete
  3. OK HONGERA WEMA, BASI ZAWADI ZIWE NA KADI KAMA GARI YA LULU ALITUONYESHA NA KADI YAKE

    ReplyDelete
    Replies
    1. akuonyeshe we nani kenge weee

      Delete
  4. Mapenz ya bongo bwana usaniii tupu. Yaan wema kaongwa magari 2 na wanaume tofauti. Moja. Kwa. Chibu. Na lingine kwa peshedee mmoja. Na uyo atakuwa Clement. Wamerudiana kiaina hapo kaka meneja katumika kama kiwakilishi mliyosoma HKL mtanielewa

    ReplyDelete
  5. Mapenz ya bongo bwana usaniii tupu. Yaan wema kaongwa magari 2 na wanaume tofauti. Moja. Kwa. Chibu. Na lingine kwa peshedee mmoja. Na uyo atakuwa Clement. Wamerudiana kiaina hapo kaka meneja katumika kama kiwakilishi mliyosoma HKL mtanielewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. bwege we na hkl yako umbea utakuua

      Delete
    2. we umalaya utakuua sembuse umbea nyolooo

      Delete
  6. Nyie mnaoponda wote wanaume suruali,mmekalia kuangalia mwanaume mwenzenu kafanya nn,ukitaka vya gharama lazma ugharamie wewe,kudadeki,hata akiongwa na wanaume kumi si wameamua wao kwa iyari yao nyie inashobo kitu gan??????

    ReplyDelete
  7. Hao wanaodiss watakuwa ni wale vizabizabina visalata vya mtaa, kama wanaume wanashindwa kuwahonga madem zao hata chupi za elfu elfu japo wanunue dazani nzima kwa 10,000. Kama ni wake ni wale ambao hawajawahi kuhongwa hata baiskeli na mabwana zao. So take a chill pill, mmezoea mapenzi ya kujaza masahani kwa wanawake zenu bila kutoa pesa za mboga, hahahahahahaa, jifunzeni hapo kwa wanaume wenzenu. Halafu mnaojidai kahongwa kahongwa, wewe umekosa nini mpaka hujahongwa kitu mpaka leo?

    ReplyDelete
  8. big up for you madame tayar ushapata kick upo juu now wakina kajala watasubir saaana

    ReplyDelete
  9. Kajala alipanda juu kwa ajir ya wema sasa atajuutaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad