Alichofanyiwa Diamond Fiesta...Nimeamini Maisha Bila Unafki Hayaendi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nakumbuka miaka mitano iliyopita aliyekuwa nguli wa filamu Nchini Tanzania marehemu ""Steven Kanumba"" alienda kwenye jumba la Big Brother....

amini usiamini bila sababu yyte ya maana watanzania ndo walikuwa wa kwanza kuanza kumsema kuwa hajui kuvaa, nani alimchagua , hajui kiingereza mpaka kufikia kumuigiza!!! Walisahau hata watu maruufu kama Messi na wengine wengi hawajui kuongea kabisa lugha hiyo..

Baada ya kifo chake watanzania hawahawa wakaanza kusema alikuwa nguli aliyetuwakilisha vizuri nje ya nchi na kulia sana!!!kumbe wakati akiwa hai tulikuwa tunamshusha chini..

Miaka mitano baadae Tanzania imempata mtu anayeiwakilisha vizuri nje ya mipaka na kuitangaza vizuri nchi yake..

Pasipokuwa na sababu za msingi (chuki binafsi tu)anapangiwa njama za kuzomewa na kuabishwa katika ardhi ya nchi yake ambayo kwa namna moja au nyingine kuna watu wameifahamu sababu yake!! Ukiuliza sababu za wengi wao kumchukia ni mafanikio yake lakini hata kama humpendi mtu hivi ndo hadi umzomee kwa kiasi kile !!!

leo na kesho naye huyu akitoka utaskia hawahawa waliokuwa wanamzomea wanaanza kusema jamaa alikuwa anatuwakilisha vizuri sana , ametutangaza sana kimataifa!! lakini Watanzania wenzake ndio vinara wa kumuangusha..

Si lazima kila mtu ampende Diamond ila kutumia nguvu kubwa sana kumuangusha mtu ni ishara ya uwoga na Roho ya kimaskini...

Nimeamini ""maisha bila unafki hayaendi"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

41 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo ni wanafikii sana lkn huo wote ni wivu tu na chuki Mungu anampa alipenda kumpa huu ni wakati wake huu mwacheni jmn haaaaah! halafu mwenyewe wala hajali nyie na mawivu yenu hata mia hamna ujinga tu mmekalia

    ReplyDelete
  2. Jaribu kuwa makini diomond anapotoka nje ya tz hatoki kama muwakilishi wa tz pili kanumba na domo hawajui kingereza huo ni ukweli sio wivu Tatu messi ajui kingereza nawala tatizo maana kingereza kwao si sehemu ya elimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. dogo ata diamond akitoka nje ya nchi mtu ambaye c mtz akiona kazi yake anauliza huyu jamaa anatoka wapi na jibu itakua TZ na si tandale wacha ukauzu basi, kuhusu lugha tusiwe mafala jamani diamond amejitahidi tusimseme yeye, huu ni mfumo wa elimu tuliyonayo ata hivyo angalia interview za hivi karibuni za diamond kama kingereza dili anongea sasa amekazana kujifunza na amejua kumbuka ametokea kwenye elimu yetu hii na si kuwa amesoma international school kama icho kidhunguu ateleze tu uwii, sasa punguza wivu kidogo c lazima umkubali diamond ila usiwe na roho ya kwanini mwisho wa siku anotoa riski ni mungu na c binaadamu!!

      Delete
    2. Yan ww ndo mbulula kabisa. Acha wivu kama jamaa yuko poa kwann usimsifie. Kwel ww ni kichwa cha mwenda wazim

      Delete
    3. ur not make sense buddy anonymous of 11:17

      Delete
    4. Unajua tatizo letu watanzania Ni kubweteka bila kujishughulisha na mtu akijishughulisha na akapata tunaanza chuki kana kwamba yeye ndo yeye ndo amechangia ufukara Wako kumbe Ni ujinga/uzembe Wako binafsi,Sasa we unadhani ukimzomea na kumchukia Diamond hapa Tz wakati Kenya,Rwanda na nchi nyingine za nje ya Africa zinamkubali na akienda anakimbiza we unadhani hata huyo anayekulipia Elfu kumi na kukunulia kiroba cha Vladimir ili uingie shoo ukamzomee hapo Dar atenda na huko pia?Badilka kijana msapoti kijana mwenzako kwa maendeleo ya vijana wa kitanzania.

      Delete
  3. lugha ya taifa ya Messi ni Spanish na hawakutawaliwa na GB kwa hiyo ana haki zote za kutokujua,akijua apende yeye

    ReplyDelete
  4. Wabongo utawaweza hawataki mtu apate ,wanataka wote wawe sawa wivu Tu unawasumbua yani wanamsubiria D afulie yani wanamsubiria kama embe mbivu chini ya mwembe.Anaweza kushuka kimuziki lakini si kufulia kimaisha,kushuka atashuka kwa sababu kila mtu na wakati wake.

    ReplyDelete
  5. Hapoo angezomewa Kiba wangesema Dai kakodisha watu sasa hii imekaaje? Maana hata tuzo aliambiwa kahonga alivypata 20% tuzo nyingi ilikuwa sawa kweli ukiwa na mafanikio bongo Ni mzigo WA misumari haubebeki.

    ReplyDelete
  6. Kweli wa bongo mizigo ya mavi dai fanya yako kwanini atukubali uyu ndio star wetu

    ReplyDelete
  7. Mi wala sishangai,ukipata watu watakuonea wivuuuuu,ndo maana bongo kuendelea ni ngumu,mwenzenu Ana nyumba kibao hata mkimshusha hatokuwa Kama mr nice mpo?

    ReplyDelete
  8. wengine mnajiongelesha tu hata nje ya Tanzania hamjatoka, nani kakwambieni kila asiye mtanzania anajua kingereza? wivu umewajaa ndo mana tunarudi nyuma, hii fitina imepangwa na baadhi ya watu na hata baadhi ya media ili kumshusha ila mwandishi wa hii blog mwambie diamond apambane asijali wavivu wa kufikiria, mwaka jana walimfanyia jay dee na diamond tena kuhusu p square kwamba ni uzushi hawafahamiani bla bla kibao, haha naona wanataka kumpandisha alikiba, h baba anyways ndo maisha yalivyo

    ReplyDelete
  9. Duniani huwezi kupendwa na kila mtu.hili so jipya.diamond be strong kaka Fanya yako ongeza juhudi

    ReplyDelete
  10. Ila D namwaminia Sana hakuna jambo ambalo nilijua Dai ndo basi issue ya mganga ile ilikuwa balaa lakini kijana Yuko strong sana.

    ReplyDelete
  11. Mtaongea weee, mtazomea weeee ila hata wafanyaje D kiboko yao.hakuna cha timu k wala timu z hapa.hamumpati n'go.Dai Dai Dai Dai.fanya yako Babaaaa.

    ReplyDelete
  12. hata yesu walimzome alipigwa mawe na ni mti mbichi itakuaje diamond mti mkavu ,waombeeni mema na maisha malefu ili anapozidi fanikwa wajionee

    ReplyDelete
    Replies
    1. ebana umeronga snaaaaaaaaaaaa kk!!!!!!!!!!!!!

      Delete
  13. hata tamu ukinai sio Kila siku yeye haiwezekani Umatilla wote ule kiba haonge umshanglie domo tupa kule huna jipya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Angezomewa Kiba mngesema Dai kahomga wabongo bwana!

      Delete
    2. yesu kuzomewa ulikuwepo,kuma we kama yesu

      Delete
  14. Yan leo admin umeongea point!!! Ndo maana hii nchi haiishi umaskini asilimia kubwa ya sisi watanzania tuna umaskin ndani ya roho zetu.. wachache sana tulio safi!! Dangote yupo juu sana kwa sasa hata wangeenda na vifurushi vya mavi kumrushia icngemshusha kamwe.. yaani ni kitu cha aibu sana kilichofanyika.. hao waliozomea ndo mwishoe wanakuja kuwaga wachawi kabisa.. roho mbaya zimewazidi

    ReplyDelete
  15. Wanachokifanya watanzania ni sawa sep blatter anavomchukia Cristian Ronaldo.Diamond fanya yako lakini kiba kumbuka anayekupandisha ndiye atake kushusha wa bongo hawaeleki kama sigara kali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni kweli anayekupandisha ndiye atake kushusha or else iwe umepanda kwa jitihada zako mwenyewe so hata wapige junguz kiasi gani chibu jitihada zake ndio nimefikisha alipo namshauri haya majungu yasimtetereshe afanye yake, na kiba nae apige mziki achane na mambo ya bifu coz after all fan wanataka mziki mzuri na c mivutano nani mkali kila mtu ana mkali wake apa ukiniuliza mie mkali wangu hasa banana na hakuna anaemfikia tz hii banana kwa vocal (labda mbishe tu) so washabiki tunahitaji mziki dangote kashefungua njia mataifa mengine yanatuangali sasa mziki wetu wanamziki wote wafanye kazi ila c chuki ayee!

      Delete
  16. hiyo ni fiesta..ajehukuarusha huyo kibatunafunga barabara hapiti tunaimba diambond mpaka ageuze aondoke.Hata Tupak ilikuwaga hivi hadi akauawa sasammeanzisha tunamaliza.kila ali akipandajukwaalolote tunazomeaaa...

    ReplyDelete
  17. nyie woteee mamburulaaaaaaa kiba ndo baba laooooo.....kiba for really miaka 100000000000000000000000000000000 ......domo ndo nani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnamuharibu Ali Kiba.Badala ya kumshauri ni nini afanye ili apande,ninyi mmekazana kumshusha Diamond ili walingane.Mziki wetu hautaendelea kwa style hii.

      Delete
    2. umeongea point sanaa, huyo kiba akibweteka alewe majungu ya fans wake hafiki mbali, watu wanataka kazi sio majungu, atangojaa sanaaaaaaa kudhani diamond ataashuka, lakini kijana D yupo smart, anajua alipotoka hataki kurudi huko so anapiga kazi hadi kielewe
      kiba: what goes around comes around, kaa chini utafakari utoke vp ili ufanikiwe hata kama hutamfikia dai coz he is in the next level

      Delete
  18. hata biblia inasema ajikwezae hushushwa ....diamond kajikweza xana na mungu kamushusha mbele ya umati wa watu.ajaribu kubadlika haya nimaisha .awaone wenzake akina AY hawana majivuno hata kama wana mafanikio makubwa ....na kiba anapendwa na watu coz hana majivuno na ni mtu wa watu.

    ReplyDelete
  19. kama unataka tukubali fact kuwa diamond ni mkali kwanini unapinga fact kuwa hajui ngeli?????? kila mtu ana flaws zake, jus the same way that i cant make you hate him you can NOT make me like him.......
    DOMOO HAJUI NGELI HIYO NI FACT...... eat it.

    eti ni njama ilipangwa kumzomea??? are u fucking kiddin me? yaani watu wanazomea kutoka different corners of the field af unasema walipanga u r ABSURD i hate Diamond nd i accept.... deal with it dnt critisize

    ReplyDelete
    Replies
    1. ivi kuna watu wakulazimisha um like dangote!! ila hate with no reason its not gud for health, team kiba tumieni nguvu kumpromote kiba kurudi kwenye game na akaae kwenye game na si kumshusha mtu wenu ndio akae alaah!! uko naija p square wana nafasi yao na davido ana nafasi yake na wengine wa uko wote na nafasi zao Y nyie kitetemeshi ama bila ya kumdiss dangote hamtoweza kusikika mbona kama hamjiamini vile u pipo n media u make me not to lyk kiba n lyk more dangote am no team buddy love mziki mzuri which kiba ako nao na dai ako nao wacheni wivu na majungu na kutumia nguvu nyingi bila sababu if jamaa ni king Y tena mashabiki mna mchecheto ivo nnamuharibia uyo kiba sasa!

      Delete
    2. Yaani hata sisi tusiofuatilia muziki siku hiyo Kiba alipopanda jukwaani zile mbwembwe zilitufanya tuhisi kuna tatizo. Tulijiuliza wot is so special about this man??Baadaye tulielewa alikuwa analazimishwa kupaishwa angani kwa baiskeli.Pole zake. D kaza buti. Upo juu wakusubiri ushuke. Watangojaa sana

      Delete
  20. hahahahahahaaaaa! poleni sana haters wa dai...mchukieni weee mzomeeni sana tu lkn ukweli utabakia pale pale ndo nambari one na hamtamfikia hata theluthi ya mafanikio yake.
    poleni eeeeehhhhh haters wa D..mtasugua visigino mnooooooooo

    ReplyDelete
  21. mambo ya kiswahili tuwaachie waswahili, Diamond ni mkali bana, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake na sio kwa mgongo wa mwenzie tuachane na muziki wa akina sister P na Zay B

    ReplyDelete
  22. Kwani domo ni nani mpk asizomewe??? Mbona mnataka kulazimisha nyeusi kua njano banaaa km mtu hsmkubali domo wacha amzomeee kwani pale hamna mtu aliyelipiwa kila mmoja kaja na hela zake kupata shangwe so km mtu anaimba ovyo wacha tuzomeeeeee ten nA mm narudia buuuuuuuuuuuuuu shukaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna sababu ya Kumzomea msanii yeyote anapoperform bali kuwapa nguvu wafanye kazi nzuri zaidi. There is no doubt anayemzomea msanii mwa nchi yake bila ya sababu ni maskini wa akili na kwakweli hatuna tiba kwa vile nimakosa ya kutopata Iodine wakati mamazao wajawazito na katika ukuaji wao.

      Delete
    2. Sio iodine tu ni lishee nzuri kwa ujumla wake.Eti haku- perform vizuri ndio maana wakamzomea. Washenzi wa tabia nyie mlianza kuzomea jina lake lilipotajwa tu kwa taarifa yenu watu wánamsubiri mtu wenu atajuta

      Delete
  23. AKILI ZA KIJINGA NA MAWAZO POTOFU ISHU YA CHIBU KUZOMEWA INAMUHUSU NN KIBA AU HATA HIYO TEAM KIBA? NA NI NAN ALIYEPANGA CHIBU AZOMEWE? ACHENI KUTUWAZISHA UPUMBAVU KUWA HIYO ILIKUWA NI NJAMA WAKATI KILA MTU KATOKA KWAO NA FEDHA YAKE YA KIINGILIO CHA KUJIULIZA NI KUWA KWANINI WA TZ WALIOKUWA WANAMKUBALI CHIBU 100% LEO HII WAMZOMEE? N WAP ALIPOANGUKA AFANYE M,ATENGENEZO NA KWA AKILI ZENU NDOGO ETI DAI FANYA YAKO ACHANA NA HAO WANAFIKI ''WANAFIKI''? WAKATI HAO NDO MABOSI WAKE HAO WALIOMZOMEA NDO WANAOFANYA YEYE AWE STAR AU ASHUKE DAI N MSANII MZURI TAMAZA TATIZO N NN

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau, kungekuwa na sehemu ya kubonyeza " like" ninge press mara billion. Hivi wa tz mnawajua mnawasikia? eti Kiba awaandae watu kwenda kumzomea Diamond kwa lipi? tunakubali kuwa tabia ya kuzomea wasanii wetu sio nzuri. ni bahati mbaya sana hii imetokea wakati Ally Kiba na Diamod wana tofauti zao. Lakini kumshutum Kiba kwa hilo pia sio fair. coaster kadhaa, mamia ya washabiki walipwe kumzomea Dai....kwa gharama za nani? toeni basi angalau genuine reasons na ushahidi kwa hilo. alijisemea mchangiaji mmoja, the late Kanumba aliandamwa SA na wa TZ sisi eti hajui english, ati sijui alivaa shati la pink, maneno kiba...eti siju aliulizwa kama amepata lunch au siju niaje...kwa vile ulikuwa ni mwezi mtukufu wa ramadhan alijibu "I am closing" badala ya " I am fasting" akimaanisha yeye anafunga..wakayasema maneno kibao..kuwa alipotembelea Hollywood alikuwa anataka kupiga picha na kila mtu, na kila bango analoliana! alisakamwa kaka wa watu weeeeeeeeeeee...lakini ali survive, na tuseme wale watu walilipwa na Kiba au mpinzani wake ktk movie industry? Mbona kuna vijana wakihojiwa kwenye tv zile sijui this kitaa, au ile ya EA tv wanaonyesha kuto kumkubali Diamond..sababu sijui ni wivu ama siju lakini msimwingize Kiba kwenye hii inferiority complex ya baadhi ya mashabiki wa music. Na pia Diamond jiulize umeteleza wapi. kuchukiwa gafla namna hii lazima kuna kitu kimewaboa hao tandale & mbagala constituency ! labda pia punguza show off...i am just saying. Keep low profile kwa maisha yako mengine, ukiwa stejin jimwage, ni hayo tuu

      Delete
  24. Mmmh mna kaziiii

    ReplyDelete
  25. hao chibu na kiba wanaingiza cku nyie mwapigizana kelele tu humu. Napita tu jaman

    ReplyDelete
  26. ukwl upo kwny nafs zao, iv kimaso maso na mwana zinaigusa mdogomdogo? tusiwe na chuki binafs,
    jamaaa yuko poa na unavyo mchukia bila sababu ndo kwnz mungu anamwagia mibaraka mingine kibao.

    ReplyDelete

Top Post Ad